Who is the KING of Sedans?

Waterbender

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
409
Points
250

Waterbender

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
409 250
SUV ni gari ya abiria na siyo mizigo yenye 4WD na umbo linaloiruhusu kwenda off road.

SUV huwa na nafasi kubwa kutoka aridhini mpaka body linapoanzia ukilinganisha na magari mengine. Huwa na muundo ambao mbele kabisa kuna bonet ambalo ndani yake hukaa injini kisha hufuatiwa na sehemu yenye nafasi kubwa ya kukaa abiria. Body lake hujengwa juu ya chasis japo kuna baadhi ya category body haina chasis.

Hizi gari hazina mkia kama zilivyo sedan kwahivyo siti za nyuma hukunjwa kwa ajili ya vijimizigo mfano cruiser hardtop na zingine huwa na kijinafasi kidogo kwa ajili ya tumizigo twa kawaida.

Kuna category kibao za SUV ila nakutajia mifano yake kwa ujumla tu, mifano hiyo ni
-land cruiser (gx, vx, prado )
- Nissan (patrol, safari, xtrail )
-Range rover (defender, discovery, velar )
-GMC (yukon denali )
-Lincoln navigation
-cadillac escalade
-chevrolet (trail blazer, tahoe, suburban )
-dodge (calliber, nitro )
Just to mention few mkuu, hope umepata mwanga
Nashukuru mmkubwa
 

Still88

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
335
Points
250

Still88

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
335 250
Hapa kuna kaukweli kuna Porsche moja nliiona inafanan kabisa na Volkswagen Toureg
Mkuu huwa nasoma posts zako nyingi sana na zilizoenda shule. Kwa jinsi nilivyokusoma mara kadhaa naona unafahamu unachoandika. Kwa hii post yako ya sasa sitaku kukusoa ila nadhani kama ungefanya marekebisho kadhaa ili kwa watu kama mimi tufahamu katika hayo magari tunalinganisha nini. Kwa mfano,BMW ndo mmiliki wa Rolce royce. Na kwa watu wengi ambao hawafahamu,BMW ndo wamiliki wa Rolls Royce na engine za Rolls Royce ni BMW with just badge engineering kama Rolls Royce phantom inatumia N 73 BMW engine.
Bentley,Audi,Porsche na Volkswagen ni kampuni moja soko tofauti.
Nafikiri hapo ingekuwa vizuri sana kulinganisha Bentley na Rolls Royce kwa kuwa soko lengwa ni moja,
kisha BMW,Audi na Merc kulingana na series kama BMW 7series Vs Merc S Class Vs Audi A8
BMW 5 series vs BMW E class VS Audi A6,merc E class Jag XF etc etc
Kisha unakuja kwa hao wadogo kama BMW 3 series etc etc.
Wakin toyota/nissan nao wana classes tofauti kama Camry ni the same class as Nissan altima na Honda accord etc etc.
Kumuweka Rolls Royce/Bentley na Toyota sidhani kama tunamtendea haki toyota. Walengwa wa hizo gari ni tofauti na pia gari zenyewe ni tofauti sana.Ni kweli kwamba Toyota Corolla itakufikisha from point A to point B just like Bentley Arnage,but with Bentley,you will get there in style.
Naomba mwenye nyongeza aongeze nyama humo.
 

Forum statistics

Threads 1,357,500
Members 519,056
Posts 33,149,210
Top