Who is the KING of Sedans?

Gorky

Senior Member
Joined
Dec 28, 2016
Messages
120
Points
250

Gorky

Senior Member
Joined Dec 28, 2016
120 250
1. Marcedes Benz?
2. BMW?
3. Toyota?
4. AUDI?
5. Volkswagen?
6. Bentley?
7. Rolls Royce?
8. Nissan?
9. Volvo?
Mkuu huwa nasoma posts zako nyingi sana na zilizoenda shule. Kwa jinsi nilivyokusoma mara kadhaa naona unafahamu unachoandika. Kwa hii post yako ya sasa sitaku kukusoa ila nadhani kama ungefanya marekebisho kadhaa ili kwa watu kama mimi tufahamu katika hayo magari tunalinganisha nini. Kwa mfano,BMW ndo mmiliki wa Rolce royce. Na kwa watu wengi ambao hawafahamu,BMW ndo wamiliki wa Rolls Royce na engine za Rolls Royce ni BMW with just badge engineering kama Rolls Royce phantom inatumia N 73 BMW engine.
Bentley,Audi,Porsche na Volkswagen ni kampuni moja soko tofauti.
Nafikiri hapo ingekuwa vizuri sana kulinganisha Bentley na Rolls Royce kwa kuwa soko lengwa ni moja,
kisha BMW,Audi na Merc kulingana na series kama BMW 7series Vs Merc S Class Vs Audi A8
BMW 5 series vs BMW E class VS Audi A6,merc E class Jag XF etc etc
Kisha unakuja kwa hao wadogo kama BMW 3 series etc etc.
Wakin toyota/nissan nao wana classes tofauti kama Camry ni the same class as Nissan altima na Honda accord etc etc.
Kumuweka Rolls Royce/Bentley na Toyota sidhani kama tunamtendea haki toyota. Walengwa wa hizo gari ni tofauti na pia gari zenyewe ni tofauti sana.Ni kweli kwamba Toyota Corolla itakufikisha from point A to point B just like Bentley Arnage,but with Bentley,you will get there in style.
Naomba mwenye nyongeza aongeze nyama humo.
 
mpondamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Messages
441
Points
225

mpondamali

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2011
441 225

Kaka hapa umefafanua vizuri Sana na majibu yako ni perfect...BMW v Benz v Audi v Toyota sedans.haya ni kweli kabisa mm nimepata kuzunguka kidogo dunuani nimepata kukutana na Gari za Japan ktk soko la ulaya ni Gari tofauti kabisa ipo laxury na stable and reliable hxo ni Suzuki na Toyota(rav 4,corolla) unlike na huku...Lkn kwa upande wangu Mercedes Benz ni Gari nzuri not only with style,class n luxury pia ni reliable mfano E CLASS and S CLASS S600 hizi mm ndio nazikubali ila BMW nao wapo vizuri na Audi na A4,6,8 series
 
Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,665
Points
2,000

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,665 2,000
Mkuu huwa nasoma posts zako nyingi sana na zilizoenda shule. Kwa jinsi nilivyokusoma mara kadhaa naona unafahamu unachoandika. Kwa hii post yako ya sasa sitaku kukusoa ila nadhani kama ungefanya marekebisho kadhaa ili kwa watu kama mimi tufahamu katika hayo magari tunalinganisha nini. Kwa mfano,BMW ndo mmiliki wa Rolce royce. Na kwa watu wengi ambao hawafahamu,BMW ndo wamiliki wa Rolls Royce na engine za Rolls Royce ni BMW with just badge engineering kama Rolls Royce phantom inatumia N 73 BMW engine.
Bentley,Audi,Porsche na Volkswagen ni kampuni moja soko tofauti.
Nafikiri hapo ingekuwa vizuri sana kulinganisha Bentley na Rolls Royce kwa kuwa soko lengwa ni moja,
kisha BMW,Audi na Merc kulingana na series kama BMW 7series Vs Merc S Class Vs Audi A8
BMW 5 series vs BMW E class VS Audi A6,merc E class Jag XF etc etc
Kisha unakuja kwa hao wadogo kama BMW 3 series etc etc.
Wakin toyota/nissan nao wana classes tofauti kama Camry ni the same class as Nissan altima na Honda accord etc etc.
Kumuweka Rolls Royce/Bentley na Toyota sidhani kama tunamtendea haki toyota. Walengwa wa hizo gari ni tofauti na pia gari zenyewe ni tofauti sana.Ni kweli kwamba Toyota Corolla itakufikisha from point A to point B just like Bentley Arnage,but with Bentley,you will get there in style.
Naomba mwenye nyongeza aongeze nyama humo.
Nashukuru kwa mchango wako.
Nitatoa Bentley na Rolls Royce.
 
chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
6,113
Points
2,000

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
6,113 2,000

Mkuu toyota umueke na class yoyote na BMW au Merc hafui dafu. Na ivi siku izi gari zake zinashape kama visu vya kiwi ndo kabisa. Gari moja tu kwenye kampuni ya toyota imesalimika na uharibifu wa design kutoka toyota. CROWN baaasi. hizo camry zinapoelekea zinakuja kufanana na corrola new model soon, itakuwa tofauti ni engine tu, lakini crown naikubali mana inamuonekane wa kiheshimu na kuogopwa, lakini still haiwezi kufua dafu kwa 7 series wala s-class ata siku 1. Uzuri wa toyota ni reliability, hapa ndipo anapowapiga bao wenzake.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,635
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,635 2,000
1. Marcedes Benz?
2. BMW?
3. Toyota?
4. AUDI?
5. Volkswagen?
6. Nissan?
7. Volvo?
Kila moja ina sifa yake. Ukiendesha zote labda ndio utaweza kuelezea ipi ni bora zaidi. Nimeendesha bmw 525,mercedes e320,vw passat, volvo s80.
Kwenye mbio na handling ya barabarani namba moja ni BMW
Comfartability namba moja Mercedes
Safety namba moja Volvo
VW/Audi ya mwisho hapo.
Overall kwangu mimi
1.bmw
2.merc
3.volvo
4.audi/vw

NB: Audi na VW ni gari moja zinatofautina bodi tu. Audi A4=VW passat.....audi a3=vw golf.....vw touareg=porsche cayenne etc
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,016
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,016 2,000
Mkuu toyota umueke na class yoyote na BMW au Merc hafui dafu. Na ivi siku izi gari zake zinashape kama visu vya kiwi ndo kabisa. Gari moja tu kwenye kampuni ya toyota imesalimika na uharibifu wa design kutoka toyota. CROWN baaasi. hizo camry zinapoelekea zinakuja kufanana na corrola new model soon, itakuwa tofauti ni engine tu, lakini crown naikubali mana inamuonekane wa kiheshimu na kuogopwa, lakini still haiwezi kufua dafu kwa 7 series wala s-class ata siku 1. Uzuri wa toyota ni reliability, hapa ndipo anapowapiga bao wenzake.
Yaani wewe mtu kama vile uko kwenye akili yangu. Toyota mpya sijui nani aliewashauri kuzidesign vile. Kiukweli sipendi kabisa muonekano wake. I can't imagine zikiingia kwenye used market zitakavyokua
 
Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
7,049
Points
2,000

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
7,049 2,000
Mkuu bavaria Mercedes wametoa sedan nyingi sana kuliko brand hizo zingine nikiangalia kwa SA na wameuza sana kuanzia 2010 mpaka sasa ukilinganisha na hayo mengine na used yapo mengi na bei za kawaida matoleo ya sasa hivi na bora sana mercedes si unajua hazina usumbufu sana wanachokifanya ni kutengeneza body tofauti engine hawabadili sana kwa hizi sedan...kila siku unaweza ukaona merce toleo ambalo hujawahi kuliona mkuu...
 
Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
46,665
Points
2,000

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
46,665 2,000
Mkuu bavaria Mercedes wametoa sedan nyingi sana kuliko brand hizo zingine nikiangalia kwa SA na wameuza sana kuanzia 2010 mpaka sasa ukilinganisha na hayo mengine na used yapo mengi na bei za kawaida matoleo ya sasa hivi na bora sana mercedes si unajua hazina usumbufu sana wanachokifanya ni kutengeneza body tofauti engine hawabadili sana kwa hizi sedan...kila siku unaweza ukaona merce toleo ambalo hujawahi kuliona mkuu...
Bei ya BMW X5M ya 2015 inaenda kwa bei gani? Kwa huko South?
 
Forum statistics

Threads 1,366,230
Members 521,419
Posts 33,364,665
Top