Wewe ndo coolest gal in JF, hauringi kama hawa wengineπKwa hiyo mi hunitaji hata kinafki bablai?
Yeah, you are.cool guy eeh π€£
Mwenyew nimeanza kupata mashaka sasaπMbona kama mmepania mwenzenu alie machozi ya damu
Wewe ndo coolest gal in JF, hauringi kama hawa wengineπ
Hahaha kiasi fulaniKwamba mimi ni coolest kidi?
Labda inaweza kuwa hivyoHahaha kiasi fulani
Huyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.Kwani @Seran nae jinsia gani? ππ
Brother dosho usimuongeze machungu si unajua anachopitia arsenal sasahivi
Ila Seran huyu itakuwa ni mdada japo mtata π π π
We mshamba mimi ni me, ohooπHuyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.
Nae ni wa kike π€¦ββοΈHuyu nilijuaga ni ME kumbe ni binti wa kisukuma.
Ila nisije kuingia kichwa kichwa jf hatueleweki ππΎπKwahiyo kijana umeshaikagua mara hii tuππ½ββοΈ
Mi na dosho12 jinsia yetu moja yani hatujielewi so farπ