Paulo au Paula?
Kuna jina paulo....au paul?
mmh kwani paula naye kaumia?ooh no get well soon paula
hee hee heee na mimi nikatumia fursa hiyo, si tunafundishwa kukamata fursa?Hahaha...Mtambuzi alikuwa anajitetea kivyake ujue...
sisi wareno huwa tunaita Paulo.Kuna jina paulo....au paul?
Na huwezi kujua kamweWanawake mna wivu mbaya sana. Sijui kwanini??
Azitangulize mapema maana kwa uulizaji huo anaweza Paula akatangulizwa ICU kabla bidada hajaenda kumuona mpenzimmh kwani paula naye kaumia?
haa tutake radhi bana, kama wivu wetu utasema mbaya na ule wa kina mangi, mushi na munisi utauitaje?Wanawake mna wivu mbaya sana. Sijui kwanini??