Nifanyej ili nipate demu maarufu

Wana jf nataka niende dar es salaam na natamani kumiliki demu maarufu kama Paula, Uwoya, wolper. Pesa ninayo, gari ninayo (range), wananchi wa dar nitumie mbinu zipi ili niwanase hao watoto wakali🙏🙏🙏
Chase your purposes and not women.

Mwanamke asipokuchagua , utateswa mno. Kila kitu utafanya wewe mwisho ujione mpumbavu.

Tafuta anayekupenda kwa hali yako na anza moja ukiwa na ndoto za mapambano, utainuka kiuchumi.
 
Back
Top Bottom