Nataka kumuoa Paula Kajala

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Huyu demu nimekuwa nikimfatilia saana. Nimemuona ni mwanamke mzuri saana ambaye ana Akili saana Tena anafaa kuwa mke kabisa.

Ila wanaempoteza zaidi ni aina ya wanaume ambao anawapata na mazingira ambayo amelelewa
But Na amini nikiwa naye huyu ninaweza kumbadilisha kutoka kuwa slay Queen Na kuwa wife matiere
Pesa ninazo but sitaki nitumie pesa kama kigezo cha kumpata.

Ndugu zangu naombeni tu mniombee nifanikiwe. Paula atakuwa shemeji yenu.
 
Huyu demu nimekuwa nikimfatilia saana
Nimemuona ni mwanamke mzuri saana ambaye ana Akili saana Tena anafaa kuwa mke kabisa
Ila wanaye mpoteza zaidi ni aina ya wanaume amabao ana wapata Na mazingira ambayo amelelewa
But Na amini nikiwa naye huyu ninaweza kumbadirisha kutoka kuwa slay Queen Na kuwa wife matiere
Pesa ninazo but sitaki ni tumie pesa kama kigezo cha kumpata
Ndugu zangu naombeni tu mniombee nifanikiwe . Paula atakuwa shemeji yenu
Bora nkuoe wewe kuliko paula
 
Why kumbadilisha watu wanao porn star na ndoa zinaenda fresh kabisa.
Issue ni upendo na maelewano
Na wasalimu kwa jina la dollars Paula achomoki
received_188011935099343.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom