Kajala na Paula wana gundu gani?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,748
2,437
IMG_7943.jpeg

Kajala alipoanza mahusiano na Pfunk Majani, Pfunk aliyumba sana akapigwa bao na kina masterJ, Mikamwamba na wengine wengi, wakongwe wenzangu mnawakumbuka.

Kajala akafunga ndoa, mume akafungwa magereza, yeye aliponea baada ya wema kumlipia fedha alizopewa na mpenzi wake CK.

Kwa ulaku wake, Kajala akamwibia Wema yule bwana, kilichompata bwana yule baada ya kudate Kajala alifukuzwa kazi serikalini na kupandishwa mahakaman kwa ufisadi na uhujumu, alifungwa na kufilisika kabisa. Sasa hivi anachoma mishkaki.

Harmo alipotoka WCB alipata deals nyingi na endorsements, lakini alipolianzisha na Kajala makampuni hayakuongeza mikataba, wasanii hadi machawa wa kondegang waliachana nae. Hilo ni gundu.

Rayvan alipodate Paula wa Kajala alipotea kwenye Raman had akamrudia mkewe, hadi Sasa hajakaa sawa bado kibiashara.

Nikimtazama Marioo tangu aanzane na Paula wa Kajala, umaarufu unapungua.

Je, hili sio gundu lililopindukia?

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom