Who is next?

Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo.
1. PAUL CHIZI-ATCL
2. WILLIAM MHANDO-Tanesco
3. CHARLES EKEREGE-TBS
4. EPHRAIM MGAWE-TPA
5. Who's next?

Hii inaonyesha jinsi wanaume walivyo wezi, it is high time now WANAWAKE WAPEWE NAFASI, nadhani jinsi wapatapo uchungu wakati aw uzazi, NDIYO walivyo NA uchungu NA inji hii!!!
 
Hii inaonyesha jinsi wanaume walivyo wezi, it is high time now WANAWAKE WAPEWE NAFASI, nadhani jinsi wapatapo uchungu wakati aw uzazi, NDIYO walivyo NA uchungu NA inji hii!!!

Ngoja Nitafute uzi wa Blandina Nyoni.
 
Haiwezekani kwani jina lake la kwanza ni Ramadhani!! Angalia majina ya kwanza ya hao wahanga ,they follow a particular pattern!!

...Hats off to you Comrade kwa kuliona hili: PAUL,WILLIAM,CHARLES, EPHRAIM... the names certainly follow a particular pattern! Yes, That Pattern! OMG!:eek2::eek2:
 
Back
Top Bottom