Who is IGP Mwema? CV Please!

tartoo

Senior Member
Jul 2, 2010
129
2
Huyu ndugu ni mtumishi wa umma.

Baadhi ya maamuzi afanyayo yamejikita kwenye hisia na fanatism kwa chama tawala badala ya misingi ya kisheria.

Ni wajibu, na haki yetu kumdadavua huyu ndugu yetu tufahamu alifikafikaje huko na pia kufahamu reasoning na judgement capacity yake imekaa vipi.

Waliosoma naye mtujuze tafadhali.
 
Tartoo, kwani wewe ni mgeni hapa TZ? hapa hakuna kitu kama misingi ya sheria, unachoelekezwa na chama tawala ndicho unachofanya!
bila hivyo kibarua kitaota majani......
 
Nadhani ana first degree na experience ya kazi. wenye data watumwagie
 
Huyu bwana ni msomi ana LL.B, alishawahi pata kashfa akiwa RPC mbeya mahabusu wapata 26 walikufa kwa kukosa hewa kwenye kasero kadogo, baada ya hapo akahamishiwa police Interpol mkuru wa kaya baada ya kupata ukuru akamteua kuwa IGP, lkn ni shemeji yake kabisaaaaa na mh. JK, SASA HAPO PIMA KAZI
 
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
 
CV yake nzima sina lakini huyu bwana alishapiga mzigo BOT, akarudi serikalini baadae akapata uIGP. Kwa wanaomfahamu ni mchapa kazi na ukienda na issue kwake atakusikiliza na ataifanyia kazi.
 
Mwema nadhani kaleta mabadiliko makumbwa ktk jeshi la police ukilinganisha na tunakotoka, Evidence ya hivi karibuni ktk uchaguzi, Polisi hawakutumia mabavu kama tulivyo zowea huko nyuma

Hongera S Mwema keep it up !!!!!!
 
read the heading and put your points!
Thread hii sio ya pongezi. kama una info kuhusu CV yake, mwaga hapa!
 
huyu jamaa ni mchapakazi sana maana sasa ana mchakato wa kukiboresha kitengo cha Forensic science katika jeshi la polisi.
Tanzania nasi tutajidai kwa kupitia uongozi wake.
 
The little i know about Mwema ni kwamba ana shahada ya kwanza ya sheria (LLB) kutoa UDSM.,alipata kuwa RPC-Mbeya, then akaenda INTERPOL-Nairobi, mpaka anachukua U-IGP.,but if we compare him with the other guy from Morogoro at least he has some added value in his tenure of service
 
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.

Yaani ana wake wawili?
 
Personally, I respect the man, for being attentive .
At least heard on how he handled issue ya usalama huko Hanang',, ingawa much is to be done but he showed the thugs that they can try to bribe others if they want but not him.
 
huyu jamaa ni mchapakazi sana maana sasa ana mchakato wa kukiboresha kitengo cha Forensic science katika jeshi la polisi.
Tanzania nasi tutajidai kwa kupitia uongozi wake.
soma heading inataka nini sio huu upupu.ndio maana mnafeli mtihani.
 
Acha udictator wa kizamani..wanaochangia wote wanamchango fulani kuhusu post uliyorusha.We si umeuliza Mwema ni nani? Sasa limitation za nini katika michango yao? utaendea kula nyundo za kichwa sana ukilazimisha mawazo yako binafsi katika hii forum.
 
Shhhhhh!
Who is IGP Mwema? CV Please!
 
Back
Top Bottom