Who is IGP Mwema? CV Please!

Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.

oops! kwani huyu msomi ana wake wawili?/aishh
 
- Ni mwanaume- ni Mtanzania- Ni Inspekta Generali wa Jeshi la Polisi -Tanzania chini ya wizara ya mambo ya ndani- Amesoma LLB Chuo kikuu cha Dar es Salaam- Ameoa na ana watoto- Katika utendaji wake wa kazi yupo commited
kama huna mchango we waache wengine wachangie!
 
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.

Hapa kuna shida kidogo. Cv maana yake ni nini?

work history: a summary of somebody's educational and work experience, for the information of possible future employers. A résumé is typically used by people in all professions except academia and medicine
Microsoft® Encarta® 2007. © 1993-2006 Microsoft Corporation. All rights reserved.

Jamaa anataka data za mshikaji sio majungu mara hajaoa, hana undugu, mahabusu mbeya
Jamaa
 
Nimependa sifa ya mwisho ..."anasikiliza". Hiyo nadhani wengi tunaijua. Anasikiliza anachoambiwa na mkuu wake hata kama si job-description yake. "Zuia maandamano, sema kua habari za kiintelijensia, ua watu, mwagia maji ya pilipili, bambikiza kesi nk" Kweli anasikiliza sana Mwema ila hana maamuzi yake binafsi.
 
Wakati Mahabusu wanafariki Mbeya, Mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka Mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa Maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, Mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa Mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa Ndugu wa Kikwete, Mama yake Khadija Mwema hana undugu na Kikwete kabisa. Mke wa pili pia.
Acha rongorongo wewe, mkewe Halima aliyepata kuwa Woman Police (WP) ni ndugu wa damu na Kikwete. Inafahamika pia kwamba Bwana huyu ana wake kadhaa. Hata Interpol alikwenda kwa influence ya JK aliyekuwa wakati huo Waziri wa nchi za nje! Hata kama asingekuwepo wakati wa tukio la kuuwawa mahabusu wale bado kwa ethics za utawala bora alipaswa kujiuzulu ili uchunguzi huru na haki ufanyike; hili la ku brag ati alirejea toka likizo kusaidia kuwasaka waliotoroka haliingii akilini. Inawezekana alirudi kufunikafunika mapungufu yake maana nchi hii kama zilivyo nyingi za kiafrika hakuna cha ku take responsibility. Ni mtu wa visasi, hila, ukabila na udini uliopindukia kama ilivyowahi kulalamikiwa na vyombo vya habari mwaka uliopita. Ni mhimizaji wa utendaji kazi kiweledi lakini chini ya uongozi wake polisi na vyombo vya usalama vimetekeleza mauaji ya makumi ya raia wasio na hatia kuanzia Arusha, Musoma na sehemu kadhaa nchini kama ilivyobainishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe wiki iliyopita na ambayo aliitaka serikali iunde Tume Huru kuchunguza mauaji haya, jambo ambalo kamwe serikali ya kilaghai hii haitalitekeleza!
 
wakati mahabusu wanafariki mbeya, mwema alikuwa likizo. Wale waliotuhumiwa kuwaweka mahabusu katika chumba kidogo ambao walikuwa maaskari, walikamatwa na kuwekwa ndani kusubiri kosa la kusababisha vifo. Lakini nao wakatoroka, mwema akaahirisha likizo kwenda kushiriki zoezi la kuwatafuta. Wakakamatwa wote kwa uongozi wa mwema. Akapandishwa cheo kwa interpol.

Hajaoa ndugu wa kikwete, mama yake khadija mwema hana undugu na kikwete kabisa. Mke wa pili pia.

uongo ukizidi mwisho huwa ukweli hakuna uhusiano wowote ma mkuu wa nchi bali mkewe wa pili ni dada wa toka nitoke na adadi rajabu
 
Duh! Hicho ndio kipengele kipi cha CV ya Mwema? Birth date au place of domicile?
Haya "great thinker" :whoo:
Miongoni mwa sehemu muhimu ya CV ni pamoja na kuonyesha uzoefu wa mtu katika kazi kupitia nafasi ( nyadhifa ) mbalimbali ambazo amewahi shika.

# Nyoosha kidolee adela, sina nia mbaya ya kukutudisha darasani#

Mrisho Mpoto
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom