Point yangu ndio ilikuwa hiyo mkuu na nashukuru at least ulipata uelewa kidogo. Niliyoyaandika kuhusu Bwana SUGUTA hayana ukweli hata kidogo. Lakini nilifanya hivyo ili ku-prove a point. Huyu kijana amekumbwa na mkasa baada ya kugusa "Interest" za wahujumu UCHUMI. Ndio akatengenezewa Hilo zengwe linalomtafuna sasa hivi. Kwa utendaji kazi mimi binafsi namkubali Huyo Kijana. Ila tusubiri uamuzi wa vyombo ya sheria ndio tunaweza kuongea mengi.