mayoscissors JF-Expert Member Joined Nov 24, 2009 Posts 975 Reaction score 479 Mar 8, 2012 #1 Napenda kumjua huyo bwana,msaada please
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,087 Reaction score 98,362 Mar 8, 2012 #2 Namkumbuka alitokea star tv huyu jamaa!!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Mar 9, 2012 #3 Why?? Dadavua plz sababu umeshaweka kila kitu yaani GZ wa TBC, nadhani swali linakwenda mbali zaidi.....
Why?? Dadavua plz sababu umeshaweka kila kitu yaani GZ wa TBC, nadhani swali linakwenda mbali zaidi.....
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 Mar 9, 2012 #4 alianzia radio one then r free afrika na hatimaye tbc maelezo zaidi utayapata kwa wengne
Inanambo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,063 Reaction score 2,875 Mar 11, 2012 #5 Anasoma Open University mwaka wa NNE BA SOCIOLOGY. Anapenda kujiendeleza. mwaka huu ataGraduate. ni mwandishi habari wa TBC 1.
Anasoma Open University mwaka wa NNE BA SOCIOLOGY. Anapenda kujiendeleza. mwaka huu ataGraduate. ni mwandishi habari wa TBC 1.