Who is behind the fall of IPP media? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is behind the fall of IPP media?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 22, 2011.

1. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
IPP Media is one of East Africa's largest Media conglomerates. Its chief executive officer is Reginald Mengi.

IPP Media is a private company, held under IPP Group and based in Dar es Salaam, Tanzania. IPP Media comprises nine newspapers, which are published in both English and Swahili, two television stations, and three radio stations (Radio One, SkyFM and East Africa FM). IPP Media is also a wide content provider for East African news on the Internet via its web site ippmedia.com. The Swahili newspapers groups are now 9 for EACU. The largest Swahili newspaper is Nipashe (Dar es salaam)

Mpaka sasa kuna small companies ambazo ziko zinawork under IPP lakini zimekufa/ utendaji weka sio wa kulizisha

1. EATV mpaka sasa wameishiwa nguvu za utangazaji watangazaji wengi wamekimbia
2. ALhasiri ( Gazeti la JIoni) siku hiz halionekani
3. Bonite bottles (cocacola VS Azam Cola)
4. Lete raha ilikufa lakini later ikaja kuwa inserted kwenye gazeti la nipashe
5. Turnover ya wafanyakazi kuondoka ni kubwa

Mytake:

1. What is the going concern of IPP media?
2. Hata ITV imeanza kuishiwa nguvu quality ya utangazaji imepungua

Nawakilisha

2. Emanuel Makofia

Emanuel Makofia JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 3,843
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
:msela:isijekuwa ccm!:A S-rap:

3. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
ni dhairi inachungulia shimo lazima kutakuwa namna hapa na mwenyekiti yupo sana kwenye siasa zaidi..

4. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,266
Likes Received: 22,015
Trophy Points: 280
Ana laana ya mkewe. Kamtesa sana mkewe ki hisia na haya ndiyo marejesho anayoyapata.

5. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280

mkuu unaweza kuweka hadharani jinsi alivyomtesa mkewe??je unamfaham vizuri mke wake,,tusiende mbali wakuu

6. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,153
Likes Received: 2,401
Trophy Points: 280
Asharaboshika nanena kwa lugha ya sita washindwe tena kabisa!!!! IPP Haiwezi kufa Mengi ni Fogo Mbaya arif,isije ikawa umefukuzwa kazi hapo ndo unaleta hizi,mbona tunawajua watu wengi tu wamehama kwenye makapuni makubwa tu ndo itakua ipp? ipp haiwezi kufa,ipo inapandaaa inapanda milimaaaa.....

7. Lokissa

Lokissa JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 7,079
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
mleta mada nahisi mtu kama wa kijiweni vile.ametumia vigezo gani kusema IPP inakufa? umeangalia turnover,sharecapital,profit(wachumi watanirekebisha). atupe uthibitisho na sio kuja na stori za kijiweni.

8. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#8
Aug 22, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,197
Likes Received: 1,003
Trophy Points: 280

Amejihisisha na propaganda za serikali mufilisi ya ccm.
Hata magazeti ya lumumba japo yanachukiwa na raia wengi lakini vyombo vya habari vya ipp vimeyazidi kwa kuficha uhalisi wa kile kinachoendelea serikalini.
PESA ILIVYO NGUMU SASA HIVI NANI APOTEZE HELA YAKE KUNUNUA HABARI ZILIZO CHAKACHULIWA KWA KISINGIZIO CHA EDITING.

9. f

fukunyungu JF-Expert Member

#9
Aug 22, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 726
Likes Received: 29
Trophy Points: 45
huyo ni mwisilamu!

10. Lutala

Lutala JF-Expert Member

#10
Aug 22, 2011
Joined: Jun 17, 2010
Messages: 845
Likes Received: 18
Trophy Points: 35
Mie naona mtoa hoja ameorodhesha vigezo kadhaa kabla ya kuuliza yale maswali mawili. Cha msingi kama hukubaliani naye weka vigezo vinavyopinga hoja yake. Otherwise wewe ndo unaonekana wa kijiweni kwa kuwa huna vigezo vyovyote ulivyotumia kupinga hoja yake. I am stand to be corrected

11. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#11
Aug 22, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
yusuph manji..hahaha

12. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#12
Aug 23, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
ndo nimetoa vigezo hivyo hapo juu
wewe unataka vigezo gani
Ningekuwa Auditor wa IPP ningekuletea going concern ya IPP

13. maishapopote

maishapopote JF Gold Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: May 28, 2009
Messages: 1,998
Likes Received: 955
Trophy Points: 280
we bujibuji uairopoke...keshamfumania wife wake si chini ya mara sita...huyo wa nini tena?

14. l

luckman JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: Oct 11, 2010
Messages: 1,202
Likes Received: 174
Trophy Points: 160
the best way to analyse the company is to use CAMEL model in a sense that
1.Capital adequacy of the company je wewe umeiangalia au umeamka kitandani unakurupuka kupost mambo yako ya ajabu??
2.Asset- here we loon on the quality of the assets owned by the company
3.Management- how good it is,
4.Efficiency of the company
5.Liquidity

sasa wewe brother umezingatia nini?? acha kukurupuka brother/sister!

15. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#15
Aug 23, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280
Si rahisi ikafa kiulaini kiivyo!

16. Chuma Chakavu

Chuma Chakavu JF-Expert Member

#16
Aug 23, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 1,524
Likes Received: 5
Trophy Points: 135

HUJUI KITU,UNABAHATISHA TU!

17. l

lebadudumizi Senior Member

#17
Aug 23, 2011
Joined: Jun 9, 2011
Messages: 149
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mkuu una mawazo mazuri lakini avator yako inatisha [​IMG]

18. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#18
Aug 23, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,433
Likes Received: 12,700
Trophy Points: 280

HIHIHIHIHH NIMEOGOPA NADHAN NTAOTA MCHANA HUUHUU KHAAAAA

19. Shenkalwa

Shenkalwa JF-Expert Member

#19
Aug 23, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 580
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Ungetuambia kwanza kama wewe ni mfanyakazi wa IPP, mtoto wa Reginald Mengi, Shemeji yake, mhasibu wake mkuu, mkaguzi wake wa mahesabu ya makampuni yake, dereva wake, mtoa habari wake, mnanihii wake, mnanihii wake??????????? nakadhalika nakadhalika. Halafu ndiyo tuongee

20. Kwamex

Kwamex JF-Expert Member

#20
Aug 23, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 378
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Na hiyo 'bonite bottles' kama ulivyoandika ni gazeti, radio au tv toka 'IPP Media'.

Loading...