Who Deserves To be a JF Celebrity?


^^
Blue G
Shukrani sana,,japo sisitahili hata kutajwa mahali popote ktk u celebrity..maana u celebrity wa JF ni sawa na aendae kisimani mbele ndiye hunywa maji maenge.
Napenda upole wako Blue G
^^
 
Last edited by a moderator:
mweeeh, misifa yote ya shem wangu watu8? ama kweli sista wangu kaopoa kifaa.

teh teh...leo naomba unichinjie yule jogoo mwenye macho ya kurembua na mkia kama tiara...halafu dada yako atakorofisha kipunga cha nguvu...
 
Last edited by a moderator:
shem watu 8 naomba unieleweshe hapa

shemeg kuna mtu ananizengea eenh...hebu tafuta ile tindikali ukaRIP risepsheni yake...

C umeona kachuna nilisema mimi, mi naona milango ipowazi hapo
lol...bi mkubwa yaani watu8 wote wauchune!!

hhhhhaaaa!! usinambie unammezea mate shem wangu. shem wangu z not available!! ooohoo.

Beth hebu soma hayo maneno kwa sauti hahaha kama wale watoto wa chekechea....:becky:

kwanza acha kumbania then tutafunguka we hutaki tupate chance ya kuuza nyago akiwa celeb humu jf
Hahahah...lol kweli uselebriti kazi...

shem watu8 hebu waambie hawa mabinti ww ni kifaa cha sist wangu na waache kukutega. lol.
Beth watu8 is a married man...ukiona binti yoyote mwenye jina la "lady" humu ndani basi jua ni kizaigoti cha mke wangu
 
Last edited by a moderator:
watu8 unastahili
kitu Lara 1, kinanikosha ile mbaya,
kongosho, madame B, pia wasikosekane..

shukrani...hivi tushawahi kutana JF Utambulisho eenh..ID yako si ngeni kwangu mpendwa
 
c.vijana ambaoa naweza sema wanajitambua na maybe kama wako kwenye ndoa ndo kwanza ni changa(samahanini kama assumptions zangu ziko wrong mtaniwia radhi ila hivyo ndivyo ninavhohisi kuwahusu)
@MrRocky grafani11 HorsePower
Blue G asante sana kwa kuniweka katika list yako
Hujakosea na assumption zako kwa kweli ni kijana na niko kwenye ndoa changa hata miaka mitano sijafikisha ya ndoa yangu
Asante sana kwa kutambua mchango wangu hapa na naamini nitaendelea kufanya kile ambacho kitakuwa msaada kwa wengine


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…