Who Deserves To be a JF Celebrity?

Mamndenyi mamkwe..u mzima wewe?
wala usiwataje watakaosababisha mwamko wa hasira..sio nzuri kwa afya
 
Last edited by a moderator:
Elli asante sana,
Napenda nikupendekeze

Tafadhali pokea jina la Elli
huwa tunakutana sana kwenye mambo ya kiroho
na huwa tunasemezana sana kule, kweli anaijua biblia

Last edited by a moderator:
Mpwa watu8 shavu dodo!!!! Ndo inaanzaga hivi mara balozi huko wapi sijui!!!!!!

Mijitu ndo itaaanza namjua yule tangu zamani pale Jf ni mwana saaanaa tu!!!!

Hahahah....ni kweli kaka mkubwa, maisha ni mtiririko wa matukio wenye kuchagizwa na nukta za mafanikio pasi shaka na matatizo
 
Hapana swahiba watu8 you really deserve it bila ubishi maanake hata jibu lako tu hapa linaonyesha jinsi ulivyo social na asiyetaka makuu,hongera sana mkuu i admire your personality if that really is even out of jf.
 
Kama neno lako ni sheria na iwe hivyo swahiba wangu....

Pasi na shaka ipo siku tutakutana nje ya JF kama ambavyo nimeweza kukutana na marafiki wengi wa hapa kwa nyakati tofauti tofauti...

Respect!!
 
Who is celebrity? je wana limitation ya idadi yao, anaweza kuwa mmoja au wawili tu? je wanapatikana kwa kuwachagua?
 
no mkuu nenoo langu sio sheria its just a normal curiosity to know vitu behind the scene,and you are honestly welcome.
Kama neno lako ni sheria na iwe hivyo swahiba wangu....

Pasi na shaka ipo siku tutakutana nje ya JF kama ambavyo nimeweza kukutana na marafiki wengi wa hapa kwa nyakati tofauti tofauti...

Respect!!
 
no mkuu nenoo langu sio sheria its just a normal curiosity to know vitu behind the scene,and you are honestly welcome.

Usijali mpendwa ni matumizi tu ya lugha na ule ni msemo wa kawaida sana...

Shukrani panapo majaaliwa yake Mwenyezi Mungu tutakuja onana tu!!
 
ghwe na une ngulonda tugbhuke twesa ghwe ukubhuka sala isi?au utikulonda une mbhuke naghwe?

Ofwaaaaaaaa.......tukubhuka twesa,ulinasyo indalama mu pocketiiii?????teh teh nduko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…