Chemli zinatumia mafuta mengi banaaa tena kibatari sinunui natengeneza mwenyewe. Tupo makini usione hivi haingui nyumba huku si unajua hata zimamoto huku hatulijui .
Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .Haya banaaa we endelea na vibatari vyako mpaka siku vikuunguzie nyumba yako ndio utanikumbuka 🙂🙂...By the way you are also JF's celebrity....Congratulations!!!!
Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .
The secretary vipi asee? mbona huyo mtoto ana sura za wanaume wengi hivyo kulikoni?Unapotea gfsonwin
The secretary vipi asee? mbona huyo mtoto ana sura za wanaume wengi hivyo kulikoni?
i.photos celebrity saudari jamaa anatisha na sijui kajichimbia wapi.
Ablessed
Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu ndani ya jf, ingawa kwa kweli kabisa sisitahili sifa hiyo hiyo ya jf Celebrity, mimi ni mchanga sana hapa jf, hizo sifa nadhani zina wenyewe.
Akina [MENTION]Lara 1[/MENTION], Paloma, ladyfurahia,[MENTION]Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION][/MENTION], Himidini na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.
halafu wewe nakutafuta sana sana, hivi unajua niko mjini kwako??
hahahahahh!!! wewe hujasema uko wapi ila mie niko Mfaranyaki yawezekana kitongoji tofauti ma kitongoji hicho hicho ila hatujuani.Mhhhhh! .....mjini kwangu umekujuaje gfsonwin!? maana sijawahi kukuambia mfaranyaki niko kitongoji kipi na mtaa upi....nimepigwa na bumbuwazi. NiPM with more info please!!!
hahahahahh!!! wewe hujasema uko wapi ila mie niko Mfaranyaki yawezekana kitongoji tofauti ma kitongoji hicho hicho ila hatujuani.