I always say God is a necessary being, atheists logic falls short for having good arguments to support their position. To them, refutation is a proof of non existence which logically is a total mistake.Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.
Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)
Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Ok, perhaps death is a good thing to the Theists,...But:
Why Jesus cried when Lazaro died?
Why people all over the world cry once their beloveds are gone?
Why are sick people goes to church to ask God to heal them and not to kill them?
Do you know what a cry symbolize?
Who told you death is worst thing to atheist?
If there is no cause how can we have an effect?I
It is also illogical just as someone who says that there must a first cause who is uncaused.
You seem to lack a knowledge about evolution, you can't compare evolution with religion because evolution is a scientific fact which can be proved. I wonder whether you could prove most of your religious beliefs[/QUOTE][QUOTays am a Winner, post: 18014607, member: 110136"]People are so wonderful. They don't believe in God but yet they BELIEVE in evolution.
Can you tell me any evidence for evolution? The answer is NO. So, evolution is a belief and not a science just as the way we believe in God.
If you want to know the secrets of God its better you approach him in prayers. We can not know everything. Our brains are finite and have limits.
In Yeremia 33: 3, God says "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa (kama ya uumbaji na future), magumu (kama uumbaji na spiritual truths, usiyoyajua (In fact we don't know many).
Kuna ubishi wa muda mrefu kwa nini relativity haiwezi kuwa reconciled na quantum physics.Kama nyota zingeandika Mungu yupo ndiyo ingekuwa dalili ya kufanya watu waamini mungu au ndiyo ingekuwa uhakika kuwa mungu yupo?
Kama ingekuwa ni dalili tu ya kuwafanya watu ndiyo waamini kuwa mungu yupo basi watu wangeendelea kubishana kama sasa,wapo ambao wangetaka kuamini na ambao wasingetaka kama ilivyo sasa ambapo pia wapo wenye kuona dalili ambazo ni sababu kwao za kuamini kuwa mungu yupo lakini wengine hawaoni hizo dalili kuwa ni sababu za kuwafanya waamini mungu.
Lakini bado sijaridhika kwa nini bado hadi Leo watu wanaendelea kubishana kitu ambacho hakipo ikiwa kweli hakipo? Kwanini ni hiki tu ndiyo ubishi wake ni mkubwa? Mbona vitu vyengine havina ubishi mkubwa wa muda mrefu kama huu?
I would like to know your position, do you hold that God does not exist?is that your position?I am very open to change.
I would actually prefer for a God to exist.
That would lift a lot of responsibility from my shoulders.
Sadly, the evidence points otherwise.
Your Bible is full of unresolved contradictions.
That shows it is not the word of God.
Because God does not exist.
I was born not created.Yes, because you exist! God is the Creator so long we see you it proves that the one created you exists
Hayo uliyoyaandika hapo hayahusiani na kutokuwepo kwa mungu na ndiyo maana bado ubishi huu hutoisha.Ni kweli kwamba kuna mengine hayana ushahidi ma yapo.
Lakini nasema Mungu hayupo si kwa sababu tu hana ushahidi (ingawa hana ushahidi kwa sababu hayupo) bali pia kuna ushahidi wa kimantiki kwamba hayupo.
Ushahidi hiu wa kimantiki unakuja baada ya kuangalia mikinganyo inayojitokeza katika dhana za kuwepo kwake.
Tukisema kwamba, Mungu ni mkuu sana kuliko uwezo wa kufikiri wa kiutu basi tunatakiwa tukubali kwamba Mungu huyu anatakiwa awe ni wa viwango vya juu sana kuliko vya kiutu.
Haiyumkiniki kimantiki watu tukasema mzazi kupendelea mtoto mmoja ni tabia mbaya isiyofaa kuigwa wala kusifuwa, halafu hapo hapo tuambiwe eti Mungu alichagua Wayahudi wawe taifa lake. Au aliumba watu wawe na akiki halafu akaumba viumbe vi gine havina akili ili vitumikie watu.
Haiyumkiniki kimantiki eti software enguneer mwenye uwezo wa kutengeneza software system isiyo na matatizo akitengeneza iliyo na matatizo kwa makusudi tuseme hafai tumfukuze kazi wakati Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tunaambiwa eti alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba huu ambao vimbunga vinaua na kuumiza maelfu ya masikini huko Haiti.
Ukimuweka kwenye mizani ya haki za kibunadamu tu huyu Mungu unaona anatakiwa kupelekwa kwenye mahakama ya ICC ahukumiwe. Hajafikisha hata viwango vya haki ya juu ya kiutu, tutasemaje ni Mungu yupo mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote?
Ukiangalia sana unaona kuna contradiction inayoonesha ukweli kwamba si tu Mungu huyu ametungwa na watu, bali ametungwa na watu wa kale ambao walikuwa hawana elimu kubwa ya kuangalia mantiki ya Mungu huyu.
Victory over death believe does require a giant leap of faith either one is plain naive or outright irresponsible.You see to an atheist death is the worst thing that could happen.
Why? Because you really don't know or believe anything that comes after that.
To us believers death is not the worst thing that could happen because death opens way to eternal life, a life that lasts a loot longer than these odd 70 years on Earth
There's a promise of heaven in scriptures, there's a promise of a sinless world where we can trully relate to God much closer without there being sin
If i may askI was born not created.
i am sorry brothee sijakuelewa vizuri.Victory over death believe require a giant leap of faith either one is plain naive or outright irresponsible.
go read the theories of evolution u'll get the answers,,If i may ask
According to you, what is the origin of man?
Man alitokea wapi?
siyo evolution, coz ili evolution itokee lazima kulikuwa na kitu kingine kabla ndiyo kikaevolve
what is the source according to you?
Does that seem incomprehensible to you? Lets talk about the idea of causality itself. Does it stand for anything, can you see causality in the first place. I think you cannot claim that there is no effect without cause as if causality stands for something outside human's mind.If there is no cause how can we have an effect?
You're wrongYou seem to lack a knowledge about evolution, you can't compare evolution with religion because evolution is a scientific fact which can be proved. I wonder whether you could prove most of your religious beliefs
Brother I am not asking kuhusu theories zilizopogo read the theories of evolution u'll get the answers,,
Nimekuuliza kama ingeandikwa mungu yupo katika nyota hiyo ndiyo ingekuwa ni dalili tu ya kufanya watu waamini mungu?Kuna ubishi wa muda mrefu kwa nini relativity haiwezi kuwa reconciled na quantum physics.
Umeusikia au kuujua?
Just because hujui kuna ubishi fulani hilo halimaanishi hakuna ubishi.
Mungu wenu wa kwenye vitabu anavyooenda sifa angekuwepo angeandika angani kwa nyota kwamba yupo kila mtu asome kwa ligha yake.
The fact kwamba hamna alama ya wazi hivyo inaonesha Mungu huyu hayupo.
Kwa nini afanye kumjua kuwe na ubishi mkubwa sana wakati angeweza kufanya liwe jambo la wazi kabisa?
No I think evolution is fact and you claim it to be a theory.You're wrong
Evolution is not a Fact
It's a THEORY
please kasome tena uweze kutafuta tofauti ya fact na theory
No I think evolution is fact and you claim it to be a theory.You're wrong
Evolution is not a Fact
It's a THEORY
please kasome tena uweze kutafuta tofauti ya fact na theory
Ntakujibu based on laws of scienceDoes that seem incomprehensible to you? Lets talk about the idea of causality itself. Does it stand for anything, can you see causality in the first place. I think you cannot claim that there is no effect without cause as if causality stands for something outside human's mind.