'Who created God' is an Illogical Question!

Wewe ni nani?
Vyovyote utakavyojibu thibitisha hilo jibu lako.
 
..kawaida sana mkuu na Rahisi kama kubusu kinyago alaf atheist do not beleive in existance of any power au deity ni scientific facts kwaio sio imani na Jibu la swali la Pili ni Obvious
 
Hujathibitisha kuwa Mungu hayupo bado, usiniambie kuwa huwezi kuthibitisha kisichokuwepo. Acha kukwepa majukumu.

Kama unahisi huwezi kuthibitisha kisichokuwepo kwa nini unaamini kuwa Mungu hayupo?
..sasa mtu anaprove vipi kitu ambacho hakipo,that means it cannot be fathomed by any of the 5 senses,wewe unaesema kipo ndo tulitaraJia uProve
 
this is so complicated,mpka nafika mwisho nishasahau swali la kwanza lilitaka nini!!
 
..kawaida sana mkuu na Rahisi kama kubusu kinyago alaf atheist do not beleive in existance of any power au deity ni scientific facts kwaio sio imani na Jibu la swali la Pili ni Obvious
Hebu weka majibu yako vizuri,sijakuelewa.
 
Huwezi kusema kitu FULANI hakipo au kipo halafu ukawa hauwezi kuthibitisha uwepo au kutokuwepo kwa hicho kitu.
Umeeleza vizuri sana nimependa hii hoja.Sababu ili ujue kuwa kitu fulani kipo lazima uwe na facts zisizo na shaka zinazothibitisha kuwa hicho kitu kipo na kama kitu fulani hakipo ni lazima tena uwe na facts zinazothibitisha kutokuwepo kwake.

Hii iko hivi na inaeleweka lakini naona wengine humu wanajaribu kukimbia hii hoja kwa kutafuta kichaka cha kujificha kwa kusema kisichokuepo hakithibitishiki.
Huku ni kukosa hoja ya kile wanachokiamini.

Yani unasema hakuna bahari yenye maji ya moto wadadisi wanapokuuliza kwanini, thibitisha unasema siwezi sababu kisichokuepo hakithibitishiki.
Huku ni kushindwa kwa hoja.
 
Hata wewe mwenyewe unaepinga uwepo wa Mungu umeshindwa kujithibitisha.
Sasa kwanini unafikiri hakuna Mungu?
Wapi nimesema nimeshindwa kuthibitisha mimi nipo?

Mimi nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo linathibitishaje kwamba Mungu yupo?

Unafahamu "non sequitur" katika logic ni nini?
 
Wapi nimesema nimeshindwa kuthibitisha mimi nipo?

Mimi nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo linathibitishaje kwamba Mungu yupo?

Unafahamu "non sequitur" katika logic ni nini?
Kama hukushindwa, eleza.
Wewe ni nani?
Jithibitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…