'Who created God' is an Illogical Question!

Wasioamini uwepo wa Mungu,ukiwabana kwa hoja,wanabasiliaha maswali.Na kumkwepa anayebana kwa njia ambazo mbanaji anawabana mpaka hawana pa kutokea.
 
Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza a kite eaten gene za hao wazazi wa wazazi wako,alitengenewa na nani?
 
Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza a kite eaten gene za hao wazazi wa wazazi wako,alitengenewa na nani?
Sijui! lakini haimaanishi kuwa ni Mungu unless ushahidi mzito upatikane.
 
Loud n clear
 
Sijui! lakini haimaanishi kuwa ni Mungu unless ushahidi mzito upatikane.
Na sisi tupe ushahidi muzito wa Baba na mama wako walivyokutengeza ,Mali ghafi zake and so. So !lakini wewe unaweza kuwa ni padre au imamu halafu unatusumbua!

DO YOU KNOW THE "LOGIC OF DESIGN AND PURPOSE"?
1)AKAUMBA MBINGU NA NCHI
2)AKAUMBA USIKU NA MCHANA WAKE
3)AKAUMBA DUME NA JIKE LAKE
4)AKAUMBA NJAA NA CHAKULA CHAKE
5)AKAUMBA KULA NA KUNYA KWAKE
6)KUNYWA NA KUKOJOA KWAKE 7)AKAUMBA UTAMU NA UCHUNGU WAKE
NK NK NK

NB KUNAWANAOHOJI KUWA KWA NINI MUNGU ALIUMBA UCHUNGU?
JIBU:-BILA UCHUNGU HAPA DUNIANI HAKUWEZI KUWA NA MAISHA.

MAANA BILA UCHUNGU
1)NJAA HAIPO
2) BILA NJAA KULA HAKUNA
3)BILA KULA UHAI HAKUNA!
THIS THE LOGIC.
BILA UCHUNGU HATA MUUMBA HUWEZI MUOGOPA .
UNAMUGOPA KWA NINI;
AKIKUADHIBU HAKUNA UCHUNGU.

UCHUNGU "IS PART OF THE SYSTEM"
 
If complexity must be designed, and the designer must be more complex, then the designer must also be designed.

By your logic, God must be designed, his designer must be designed and so on and so forth endlessly.

In this setup, there is no God.
 
Haya iweke hiyo "vipi" katika lile swali langu halafu tuone.
Weka wewe. Wewe si ndiye unayeuliza. Nitawekaje mimi "vipi" kwenye swali lako?

Hebu liandike upya na ulipost tena lieleweke.
 
Kuna hitaji imani kusema hakuna mungu bila ya hivyo watu wote tungekuwa hatuamini mungu. Unafikiri kungekuwa na ushahidi wa kuwa hakuna mungu kungekuwa na mtu ambaye angeendelea kuamini mungu?
Imani si tatizo.

Ukishapanga kwenda kazini ushapanga kwa imani.

Unaweza kufariki usiku kesho usiione.

Kwa hiyo imani haina tatizo. Kwa kweli huwezi kuishi bila imani. Utashindwa hata kuamka kitandani asubuhi.

Tatizo linakuja unapoamini vitu vyenye a clear contradiction.

Kama Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote ambaye aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea, halafu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
 
Umenielewa kwanza kuwa matatizo yaliyopo kwenye biblia haifanyi kuwa ndiyo hakuna mungu?
Kwa hiyo unakubali kwamba Biblia si kitabu cha Mungu na Mungu kama alivyoandikwa katika Biblia hayupo?
 
If complexity must be designed, and the designer must be more complex, then the designer must also be designed.

By your logic, God must be designed, his designer must be designed and so on and so forth endlessly.

In this setup, there is no God.
If the designer creates very complex things like these, then its logical to say that the designer is so much complex to be designed. That is, He is too much complex to be designed.

Refer my thread topic that Who Creates God is an Illogical Question.

I basically don't know why Kiranga hutaki kukubali. You sacrifice your reasoning for no reason kabisa.

You can't tell that DNA is a product of chance. Huko ni kukataa kufikirisha ubongo wako.

Kiufupi Kiranga kutaki kufikiri nje ya box. Unang'ang'ana na logic zisizoeleweka unaacha logic za msingi.

Remember kuwa kwa vile swali la uwepo wa Mungu ni swali muhimu mno, then ili useme kuwa Mungu hayupo inakubidi uwe na uhakika wa 100% kwa sababu jibu la swali hilo ndilo linalo dictate namna gani uishi, na destiny yako ikoje.

Kwa upande wetu sisi hatuna msukumo wa Ku prove kuwa yupo, kwa sababu Imani inatutosha.
 
Kwa hiyo unakubali kwamba Biblia si kitabu cha Mungu na Mungu kama alivyoandikwa katika Biblia hayupo?
Kiranga, what is important is not to prove the existence of God of Bible, but the existence of God of the Universe. God is not about religion, but a REALITY.
 
Kiranga, what is important is not to prove the existence of God of Bible, but the existence of God of the Universe. God is not about religion, but a REALITY.
We are going by elimination.

It is important to establish what is true and what is false and the reason.

Else we will not converge anywhere.

On that note. Are the Gods of the Bible and of the Quran for that matter, false?
 
Kwani tatizo lipo wapi? Mie nimesema kuna hitaji imani kusema hakuna mungu,sasa kama wewe unaona imani yako ya kuamini hakuna mungu ni sahihi basi mi sina tatizo.
 
If at all it is possible for anything to appear without a designer, then the designer is not needed in the first place.

Why are you employing a "Deus ex machina" to resolve a jam you get into by following your own rule?

Does all that appear to be complex need a designer or not?

Either way you answer this question, your God fails.

If you say that all that appears to be complex need a designer, then God needs a designer. That breaks your God.

If you say that a designer is not necessary (as in God was not designed) then your God is not needed as the first mover. That breaks your God.

The only way you can get out of this jam is by using an inconsistent "Deus ex machina" that excuses God from your logic arbitrarily.

"Arbitrary logic" is euphemism for lack of logic.

So much for "logic za msingi".
 
Wenye imani ya kuamini hakuna mungu ukiwauliza maswali kama hawana majibu wanasema kwamba kutokuwa na majibu haifanyi kuwa mungu yupo,ila wao wanataka imani zengine ziwe na kila jibu la swali watakalojisikia kuuliza.
 
Kwani tatizo lipo wapi? Mie nimesema kuna hitaji imani kusema hakuna mungu,sasa kama wewe unaona imani yako ya kuamini hakuna mungu ni sahihi basi mi sina tatizo.
Kusema contradiction inaonesha uongo si imani. Ni fact.
 
Wenye imani ya kuamini hakuna mungu ukiwauliza maswali kama hawana majibu wanasema kwamba kutokuwa na majibu haifanyi kuwa mungu yupo,ila wao wanataka imani zengine ziwe na kila jibu la swali watakalojisikia kuuliza.
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Swali lolote nitakaloshindwa kujibu halithibitishi Mungu yupo.

Ili uthibitishe kwamba Mungu yupo, inabidi ufanye zaidi ya kuniuliza swali ambalo nashindwa kulijibu.

Kwa sababu inawezekana Mungu akawa hayupo na mimi nisiwe na jibu la swali lako.

Njia pekee ya kuonesha Mungu yupo ni kwa mtu anayesema hivyo kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Hakuna aliyethibitisha.
 
Ndiyo umeeleza nini hapo?

Mie nimesema wanaosema hakuna mungu wakishindwa kujibu swali husema kushindwa kwao kujibu haifanyi kuwa mungu yupo,ila wao wanataka imani zengine wawajibu kila swali watakalojisikia kuuliza.

Watu wamekuwa wapinga mungu kwa sababu ya kukosa majibu kwenye imani zao,lakini kwenye imani ya kuamini hakuna mungu hata kama watakosa majibu bado wataendelea kuamini tu kuwa hakuna mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…