'Who created God' is an Illogical Question!

..for atheists Its science and Facts
 
..If God is that Complex why does he want us to understand Him kama haeleweki???
 
..If God is that Complex why does he want us to understand Him kama haeleweki???
Imani ya kuwepo Mungu ina contradictions nyingi sana.

Contradictions huonesha uongo.

Imani ya kuwepo Mungu ni imani ya uongo.
 
Imani ya kuwepo Mungu ina contradictions nyingi sana.

Contradictions huonesha uongo.

Imani ya kuwepo Mungu ni imani ya uongo.
Kipi kinafanya ijulikane imani ya uwongo na ya kweli?
 
Kipi kinafanya ijulikane imani sahihi na ya uwongo?

Au hujanielewa?

Kwa nini unafikiri ni kitu kimoja?

First thing first, ukiona imani ina contradiction ni ya uongo. Umeelewa hilo?

Kama vile kuamini Mungu ambaye anaweza yote, ana ujuzi wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea, halafu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea ni kuamini contradiction.

Hivyo ni kuamini uongo.
 
Hivi kweli unanielewa kweli?

Ina maana usahihi wa imani yeyote ni kutokuwa na contradiction?
 
Life's a struggle,In contrast with other creatures, We are given free will and higher reasoning power so as we can find answers. Through faith and trust answers will uncover themselves.

Mungu ni muweza wa yote. GOD is infinity and ultimate in power and everything.
 
Mungu yupo na hutuezi kumuelewa kwa akili na nguvu za kibinadamu za kawaida.
Hivi mnaopinga uwepo wa Mungu mnafikiri kwanini binadamu hawezi kuzuia kifo?
Unavyosafiri kwa mfano kwanini hujui kama utafika salama salimini hii inathibitisha kuwa kuna ziada ya akili za kibinadamu.
Binadamu akili zake zimeishia sehemu Fulani sasa Mungu anaanzia hapo.
MTUMIKIE MUNGU NA UMPENDE KWA AKILI ZAKO NA NGUVU ZAKO ZOTE USITENDE DHAMBI DAIMA UTAEZA KUMSHUHUDIA KATIKA MAISHA YAKO.
WENGI TUNASHINDWA KUMSHUHUDIA MUNGU, KUMJUA SABABU TUMEZAMA KATIKA MAOVU.
MUNGU NI MTAKATIFU HAPATIKANI KATIKA GIZA BALI YU HAI KWENYE MWANGA SISI TUMEZAMA KWENYE GIZA NDIO MANA HATUMUONI.
 
Hivi kweli unanielewa kweli?

Ina maana usahihi wa imani yeyote ni kutokuwa na contradiction?
Wapi nimeandika hilo?

Nikuulize wewe.

Unajua kuhesabu?

Unajua Kiswahili?

Umeelewa nilichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…