Mie Zanzibar nilimpoteza mpenzi wangu laaziz, kwao palikuwa pale penye hoteli ya Serena sasa.Wewe kiranga sio kama huamin Mungu yupo, Lakin Kuna kitu wakitaka, tafadhali njoo huku Zanzibar utakipata na utafurahi nafsi ako
Hujui hata kusoma.Unaweza kunithibitishia kuwa tuliishia kwa wewe kuniuliza maswali hayo?
Don't flatter yourself.Huna ubongo wa kuweza kunitoa povu.Usitokwe povu mkuu.
We ndiye unaniambiaga upeo wangu mdogo au sijui ndiyo sina kabisa upeo. Sasa kwakuwa ndiyo unajua kuwa sina upeo basi ndiyo naomba unifafanulie maelezo ya maxime
Lete uthibitisho wa kuwako shetani.
Utasilimu vipi wakati huamin Mungu, na usinitajie vinyaa hapa, wewe unaona Zanzibar Kuna wanawake wakuoa mtu mpumbavu kama wewe, labda uoleweMie Zanzibar nilimpoteza mpenzi wangu laaziz, kwao palikuwa pale penye hoteli ya Serena sasa.
Ukiweza kunipatia yule mie safari ntafunga wallah na kuslim ntaslimu ila kwa magutu nimpate mtoto wa Kizanzibari.
Kwahiyo unataka kusemaje?
Duh....we mkaree!Mie Zanzibar nilimpoteza mpenzi wangu laaziz, kwao palikuwa pale penye hoteli ya Serena sasa.
Ukiweza kunipatia yule mie safari ntafunga wallah na kuslim ntaslimu ila kwa magutu nimpate mtoto wa Kizanzibari.
Ilikuwa naenda kuoa nikapata cold feet.Duh....we mkaree!
Ndo yule uliyemnunuliaga Porsche kwa cash money[emoji385] ?
Halafu kwa nini kapotea JF siku hizi? Ulizidiwa kete nini ?
Dah...we jamaa bana.Ilikuwa naenda kuoa nikapata cold feet.
Haaa qatu hawajiwlewi kama wanaenda au wanarudi.Sina haja sababu ya kuleta uthibitisho kwasababu hivyo ndivyo wanaoamini Mungu yupo ndio hao hao wanaamini na uwepo wa shetani!
Ujana kaka. Ujana.Dah...we jamaa bana.
Utaachaje kujimilikisha totoz kali namna ile[emoji23]
Usikute hata hukuitafuna wewe.
Sasa Porsche ukanunua kwa cash money na totoz ukaiachaia iende hivi hivi....gotdamnit.
Totoz kama ile kwangu haikatizi halafu ikasalimika.
Hata ingebidi kukausha ATM zote za NBC ningezikausha tu.
Hatutaki mahubiri.Revelations 7:8 tels God is the alpha and omega. He had no beginning. Its hard for us to comprehend because we're humans. But God has no beginning. He does however have a name. Psalms 83:18. His name is Jehovah.
Hili swali "Who created God" huulizwa na wapagani na watu wasio na imani na mungu.
Mungu ni suala la imani.
Kuuliza "Who created God" ni kama kuuliza ,"Rangi ya bluu inanukiaje?"
Eh bana eeh...ina maana mazee ulifunga safari toka Gotham hadi Nippon?Ujana kaka. Ujana.
Mipigo ya Harajuku hapo Roppongi kuna sehemu inaitwa "Minato". Jina lenyewe tu ushaambiwa "Minato".
Minato, Tokyo - Wikipedia
Unalishwa matunda yao yale yamekuzwa huku yakipigiwa muziki wa Mozart utasema aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga hajawahi kufika huku.
Hapo bado hujafikishwa ""Kumamoto" Kumamoto - Wikipedia
Basi nisimwage sana mtama kwenye kuku wengi.
Ukitaka kunya mavi ya tembo utapasuka msamba.Hatutaki mahubiri.
Tunataka uthibitisho.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Bado unahubiri.Ukitaka kunya mavi ya tembo utapasuka msamba.
Wewe ni punje tu katika hii dunia.
Mungu alikuwa kabla yako na utakufa utamwacha.
Bora ujifanye mjinga ukaamini mungu yupo kuliko ujione mjuaji ukachagua kuamini mungu hayupo halafu siku ya kiyama unakutana na Sir God.
God is alpha & Omega.
Mungu hajaribiwi wala hazibitishwi.
Mkuu "MUNGU HAZIBITISHWI"Bado unahubiri.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitiaha.
Bado unahubiri.Mkuu "MUNGU HAZIBITISHWI"
Utakufa utamuacha.Na siku ukija pata janga utakuja tu kumkumbuka Mungu.Na nina hakika utakuja kuandika Ushuhuda wako.
Ni dini gani wewe? Budha? Hindu? Free Mason? Christian Scintology au una abudu Jiwe?
Hakuna haja ya malumbano.Jawabu la hoja yako ni rahisi sana..Mimi na wewe tuna tofauti ya imani kuhusu Mungu.Wewe ni atheist mimi ni theist.Bado unahubiri.
Unaruhusiwa kuamininunachoamini, lakininukianza kuhubiri kuulizwa uthibitisho ni sawa.
Mungu hathibitishwi kwa sababu hayupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo kama hayupo.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.