Kwakuwa umeshindwa kujimudu kujitambua wewe binafsi.ambaye hupo unajiona na akili unayo.unapata wapi uwezo Wa kutaka kujua Mungu kama yupo .ambaye umuoni !!?? Na mbaya zaidi umesoma habari zote juu yako binadamu mpaka shahada.kulikoni huyu Mungu ambaye ujamsoma habari zake angalau kwa ngazi ya cheti la darasa 2 !!!???Is god logical?
Kwa lugha yangu ya kibantu, "kiranga" maana yake "shetani" kwahiyo sishangai kuona unashabikia kua Mungu hayupo. Pole sana ndugu maana anaekutumikisha tayar kasha hukumiwa.
Una uwezo wa kufanya pembetatu ambayo pia ni duara?Kiranga una uwezo wa kufanya chochote kile kama ukiamua na kuituma akili yako lazima jambo ulitakalo ulifanikishe.
Mungu ni roho ndani yako.
Wewe ndiye huishi kunishangaza.Kiranga huishi kunishangaza, unatambua uwepo wa mapepo na attributes zao zote. Lakini unashindwa kutambua uwepo wa Mungu alioko ndani yako. Poor you.
Can you prove God exists at all?God isn't a physical being...
I'm just reminding you.
God is spirit
Nimekwambia kuua ni ubaya, kuchukua maisha ya asiyetaka kuuawa ni ubaya.Umeshindwa kujibu hoja ya kuthibitisha ubaya uko vipi.Unaruka ruka,wewe huamini kama Mungu yupo,vipi useme ana kitabu,asiyekuwepo anakuwaje na kitabu.
Ndio nikasema,msioamini Mungu hayupo,mnajidanganya,hamuwezi kujenga hoja,mpaka mtumie hoja za Mungu,Mungu mnayesema hayupo.
Uko nusu nusu,mara useme Mungu hayupo,mara unatafuta hoja kutoka kwa huyo Mungu ambaye hayupo.
Sema huna jibu,usione aibu.
Then why is God self contradictory?..Yes,God Is Logical Kiranga
Ni wapi nilisema naamini mungu mwenye cotradiction? Habari za contradiction ni zako wewe.
Mungu akiwa na contradiction moja tu, uungu wake wote unatiliwa shaka.Unataka tuangalie sifa zote za mungu katika kila tukio? maana unajua kuwa mungu ana sifa zaidi ya uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote.
Hapa tunazungumzia ukamilifu ila kama unataka tuzungumzie ukamilifu kwa kuhusisha sifa zote za mungu basi sawa.
Wapi?Wewe umekimbia jukumu lako, Jibu kule ulikoishia kwanza ndio uingi huku. Usiwe kama popcon kwenye sufuria la Moto, We need linear discusion
Cardinal rule of comparison, compare likes.Nimempa mfano mwepesi tu, lakini kitu kingine kwa kuuchunguza ulimwengu, Tunaona relationship kati ya Mungu na Planet Earth tu. Lakini Universe yenye diameter zaidi ya Centrions of Lightyears nalo ni kisio la chini mno. Na watafiti wamegundua tu kama 1/10000000000000000 ya universe. Unajuaje kama Mwajiri anawafanyakazi wengi na wao hawajavunja kanuni na wanaendelea na utaratibu kama dunia ilivyokuwa kabla ya kukiuka maagizo. Bibilia inatupa Summary ya historia ya planet earth as a minute member of complex universe.
This is a confused non sequitur.Kwakuwa umeshindwa kujimudu kujitambua wewe binafsi.ambaye hupo unajiona na akili unayo.unapata wapi uwezo Wa kutaka kujua Mungu kama yupo .ambaye umuoni !!?? Na mbaya zaidi umesoma habari zote juu yako binadamu mpaka shahada.kulikoni huyu Mungu ambaye ujamsoma habari zake angalau kwa ngazi ya cheti la darasa 2 !!!???
Tatizo unalazimisha tukubali hizo unazoita contradiction,hutaki mjadala kuhusu hilo.Mungu akiwa na contradiction moja tu, uungu wake wote unatiliwa shaka.
Kama wewe ukiwa na kosa moja tu lenye hatia ya kifungo, kutokuwa na hatia kwako kunaondolewa na unafungwa gerezani.
Huwezi kusema "kweli nimeua, lakini niachieni kwa sababu naenda kanisani kila Jumapili".
One contradiction on the part of God removes the claim that his omnipotent, omniscient and omni benelovent.
You have not removed that contradiction.
OK. Tujadiliane kuhusu contradiction.Tatizo unalazimisha tukubali hizo unazoita contradiction,hutaki mjadala kuhusu hilo.
Yani wewe ushapitisha kuwa kuna contradictions na unataka sie tukubaliane na wewe halafu ndiyo tuanze kuondoa hizo contradictions.
Huyo jamaa kama humjui ni pasua kichwa. Huwa hajibu maswali ambayo hajui na analazimisha sana mambo. Kiufupi kaamua kuwa kipofu. Sasa kiziwi-kipofu hata uimbe vizuri namna gani hawezi kusikia na hata kuwe na kizuri kiasi gani hawezi kuona.Tatizo unalazimisha tukubali hizo unazoita contradiction,hutaki mjadala kuhusu hilo.
Yani wewe ushapitisha kuwa kuna contradictions na unataka sie tukubaliane na wewe halafu ndiyo tuanze kuondoa hizo contradictions.
Unaipimaje contradiction? Unajuaje kama hii ni contradiction?OK. Tujadiliane kuhusu contradiction.
Unakubali contradiction ipo?
Contradiction ni kitu kibaya kwa sababu mfumo wenye contradiction uko shaghalabaghala na haueleweki. Inaonyesha lack of order, inaonesha uongo.Huyo jamaa kama humjui ni pasua kichwa. Huwa hajibu maswali ambayo hajui na analazimisha sana mambo. Kiufupi kaamua kuwa kipofu. Sasa kiziwi-kipofu hata uimbe vizuri namna gani hawezi kusikia na hata kuwe na kizuri kiasi gani hawezi kuona.
Nimemwuliza hapo juu kuwa hizo contradicition, hayo majanga, na mengineyo kwa nini ni vitu vibaya? Yeye haamini kama kuna Mungu sasa ubaya na wema kipimo chake nini? Kama hakuna Mungu kwa nini anataka majadiliano yenye mantiki? Ina maana sisi ni Special? Ina maana sisi si wanyama?
Kiranga ni mtu aliyeamua kuwa kipofu na kiziwi. Usitarajie akusikie hata utumie nguvu kiasi gani kupiga ngoma!
Unaipima contradiction kwa logic. Unaijua hii ni contradiction kwa sababu unaona kitu kimoja kinakupa poposition (p) halafu kitu hicho hicho kinakupa proposition negation of p (-p) .Unaipimaje contradiction? Unajuaje kama hii ni contradiction?
Na unaipimaje logic? Hizo proposition zote unazipima vipi?Unaipima contradiction kwa logic. Unaijua hii ni contradiction kwa sababu unaona kitu kimoja kinakupa poposition (p) halafu kitu hicho hicho kinakupa proposition negation of p (-p) .
Kwa truth table.Na unaipimaje logic? Hizo proposition zote unazipima vipi?