Hahahahaa.....Mimi huwa natumia pronoun zote mbili He/she....na nitaendelea kutumia hivyo hadi jinsia yake itakapobainika.Na jinsia yake itabainika baada ya ushahidi wa uwepo wake kuwa wazi.Kwa hiyo kumwita HE wakati hakuna ushahidi wa uwepo wake, ni kuutukuza mfumo dume wa watu wa mashariki ya kati ambao ndio waumbaji wa Mungu.Kumbuka wayahudi na waraabu wanathamini mfumo dume kuliko usawa.Hivi kuna sehem yoyote kuwa mungu alisema kuwa yeye ni he ?! Maana naona he zimekuwa nyingi sana..
Nimependa jibu lako kwa sababu lina uhalisia halina unafki,wengine wanasema hawana tatizo na imani lakini majadiliano yao yanapingana na wanachokisema.Tuanaka kuelewa na siyo kuamini.Kuelewa kuna nguvu ya uhakika zaidi ya imani.Kwa nini tuamini badala ya kuelewa?
Kusema tu huna tatizo na imani haina maana ni kweli huna tatizo kweli.Nina imani jua litachomoza kesho.
Sina imani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Kwa nini?
Kwa sababu natumia mantiki.
Ushahidi wa kimantiki unaonesha Mungu huyo hayupo.
Ushahidi wa kimantiki unaonesha jua litachomoza kesho.
Sina tatizo na imani.
Sina hata tatizo na imani potofu kama mtu ataifuata mwenyewe. Nitaitetea haki yake ya kuamini kwa mujibu wa "Universal Declaration of Human Rights".
Nina tatizo na imani potofu inayohubiriwa kama sahihi.
Hamna kitu hapoKwa jinsi ulivyoandika tu hapo, sidhani kama utakuwa na hoja za kusimama na Kiranga , sijui lakini....
Imani siyo kitu kibaya, kitu kibaya chaweza kuwa msingi inaposimama imani.Msingi ukiwa imara imani itakuwa ya kweli, lakini msingi ukiwa hovyo imani itakuwa potofu.Nimependa jibu lako kwa sababu lina uhalisia halina unafki,wengine wanasema hawana tatizo na imani lakini majadiliano yao yanapingana na wanachokisema.
Kwa sababu haiwezekani wewe ambaye unasema ukweli kuwa hutaki kuamini uulize mungu kaumbwa na nani? halafu na anayesema hana tatizo na imani pia aulize swali hilohilo.
Kama anashabikia Mungu hayupo ni wazi pia aamin kua shetani hayupo, sasa ni vipi uone anafanya kazi ya shetani wakati huyo shetani mwenyewe kwake hayupo?Kwa lugha yangu ya kibantu, "kiranga" maana yake "shetani" kwahiyo sishangai kuona unashabikia kua Mungu hayupo. Pole sana ndugu maana anaekutumikisha tayar kasha hukumiwa.
Evolution is not a beliefPeople are so wonderful. They don't believe in God but yet they BELIEVE in evolution.
Can you tell me any evidence for evolution? The answer is NO. So, evolution is a belief and not a science just as the way we believe in God.
If you want to know the secrets of God its better you approach him in prayers. We can not know everything. Our brains are finite and have limits.
In Yeremia 33: 3, God says "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa (kama ya uumbaji na future), magumu (kama uumbaji na spiritual truths, usiyoyajua (In fact we don't know many).
Shetani kakosa nini?Kwa mimi nilivyoelewa
Mungu ana tabia yake fulani, ni Mungu wa haki na upendo, na hivyo ndivyo anataka sisi tumuelewe
Let's say angemdestroy Shetani mara moja, ingekuwa labda haki lakini malaika wengine wangeelewa vipi juu ya upendo wa Mungu, au kutoa hukumu bila kumpa shetani nafasi ya kutubu
Shetani alipewa nafasi hiyo aweze kutubu toka kipindi hicho na nafasi hiyo iliisha pale Yesu alipokufa msalababi na kuibeba laana ambayo ilitua juu ya wandamu
Hivyo basi itakapofika siku ya mwisho shetani atapata ile adhabu aliyostahili
Malaika watakuwa wameona uovu wote aliofanya shetani
Na wataona upendo ambao Mungu alionyesha kwamba ijapokuwa Shetai alikosea, lakini alipewa nafasi nyingine na Mungu ataonekana kuwa ni Mungu wa haki
Na tabia ya Mungu itadhihirika miongoni mwa viumbe wake
What would you desire if you have everything which is there to have?I disagree
Desire is not a shortcoming
And you are wrong
You can have everything and still desire
Sina tatizo na imani kwa sababu nakujibu hii post na kukutumia usome nikiamini utaipata.Kusema tu huna tatizo na imani haina maana ni kweli huna tatizo kweli.
Hakuna tofauti ya nyie mnayekataa kuwa hamna tatizo na imana na wale wenye kusema wazi kuwa hwataki kuamini.
So God is not the epitome of perfection?1. The most perfect state is nothingness
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi, nayo nchi ilikuwa ukiwa tena utupu, naye Mungu akasema iwe nuru, nayo ikawa. (There was a complete nothingness kabla ya kila kitu), so hapo nakubaliana na wewe kuwa mwanzo kulikuwa na nothingness.
2. The idea of God proposes that God is the epitomy of perfection.
Bad premise.
3. If God existed the only thing that would exist would be nothing.
Then God invent due to his Majesty Love, some things out of nothing. Remember that God does all this because of LOVE, not anything else. LOVE is the only reason me and you are HERE, right NOW.
Uncertainty principle says particles pop in and out of space everywhere.
That is a principle, formulated by human beings like me and you, so it can not be relied upon.
5. Therefore God does not exist
In appropriate conclusion
In other words, the idea of a perfect God makes this God too perfect for anything to exist, the minute anything exists, this God does not exist.
What happens when you are all perfect and at the same time you are LOVING? Will you be just yourself in the whole universe? The answer is NO!
Hata mimi nilisema awali kabisa nataka kuelewa siipi imani umuhimu sana.Nimependa jibu lako kwa sababu lina uhalisia halina unafki,wengine wanasema hawana tatizo na imani lakini majadiliano yao yanapingana na wanachokisema.
Kwa sababu haiwezekani wewe ambaye unasema ukweli kuwa hutaki kuamini uulize mungu kaumbwa na nani? halafu na anayesema hana tatizo na imani pia aulize swali hilohilo.
Jibu lako ni rahisi, Mungu ni Roho, siyo damu wala nyama kama binadamu. Kumjua Mungu ni lazima uendane na frequency/wavelength zake, uwaze kama yeye, ufikiri kama yeye. Hiyo ndiyo test aliyotupa binadamu na ndiyo inayomtofautisha binadamu wa kiroho na binadamu wa kimwili.When you say "How can you expect to understand God (Almighty all Powerful and all his traits) in the same way i try to understand my University joining instructions" you are giving me the opportunity to call anything almighty and if you do not understand it, then I have the right to ask you the same question.
I can tell you that there is a magical and invisible golden lamp on top of Mount Kilimanjaro, it is so bright that nobody can see it.
And you will say "Get out of here, there is no such lamp". And I will tell you "How can you expect to see this lamp while it burn so bright and so magically that human eyes cannot see it"
How will you prove to me that this lamp does not exists?
If it is possible to make up a story about a non existent lamp like that, how do you know this God idea is not just a story just like that lamp? What is the significant difference logically? they both are rooted in supernatural forces after all.
How are you able to tell that this lamp story is a hoax and this God story isn't?
Saying "God is unlike anything else" without as much s proving that God exists has a name.
It is called "Deus ex Machina"
This is what you do when you don't know what you are talking about and you need your way out, when you have cornered yourself and dont know how to get out of the corner.
Deus ex machina - Wikipedia
de·us ex ma·chi·na
ˌdāəs eks ˈmäkənə,ˌdāəs eks ˈmakənə/
noun
- an unexpected power or event saving a seemingly hopeless situation, especially as a contrived plot device in a play or novel.
Roho ni uongo mwingine.Jibu lako ni rahisi, Mungu ni Roho, siyo damu wala nyama kama binadamu. Kumjua Mungu ni lazima uendane na frequency/wavelength zake, uwaze kama yeye, ufikiri kama yeye. Hiyo ndiyo test aliyotupa binadamu na ndiyo inayomtofautisha binadamu wa kiroho na binadamu wa kimwili.
Binadamu wa kimwili hutimiza tamaa za kimwili na kutafsiri kila kitu kimwili (materiality perspective), lakini watu hawajui ukweli kuwa "Ulimwengu unaoonekana umeumbwa kutokana na ulimwengu usioonekana"
"Mungu ni Roho, na wamwabuduo, wamwombao, wampendao yawapasa wampende katika roho na kweli. Tumepewa miili kwa ajili ya kujifunza tabia na personality yake hapa duniani kabla hatujahitimu na hatimaye kuweza kufanana nae. Tupo duniani kujifunza kumuakisi Mungu, kuvumilia katika shida na raha, na kujifunza kumpenda Mungu na wanadamu. Kwa kifupi tupo duniani kunakili personality ya Mungu.
Huo ndo ukweli ambao hauujui.
People are so wonderful. They don't believe in God but yet they BELIEVE in evolution.
Can you tell me any evidence for evolution? The answer is NO. So, evolution is a belief and not a science just as the way we believe in God.
If you want to know the secrets of God its better you approach him in prayers. We can not know everything. Our brains are finite and have limits.
In Yeremia 33: 3, God says "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa (kama ya uumbaji na future), magumu (kama uumbaji na spiritual truths, usiyoyajua (In fact we don't know many).
Roho ni uongo mwingine.
Huwezi kuthibitisha kwamba roho ipo.
Kwa sababu Roho ni dimension nyingine. Siyo dimension yetu, kwetu roho ni mystery.
Nikitunga kitu na kukipa jina na kusema hakijulikani na watu na hakipumiki, hilo halifanyi kitu hicho kiwepo.
Pia kushindwa kuthibitisha kitu hakufanyi kitu hicho kutokuwepo, kitafanya tu kitu hicho kutokuwa na ushahidi unaohitajika katika viwango vya binadamu.
You just proved that you can't follow the discussion.So God is not the epitome of perfection?
I mis-interpreted "the epitome of perfection sentense", niliichanganya na maana nyingine.
Yeah it is true that God is the perfect example of the perfection. Kijana pale kunapokuwa na maneno mbadala ya kutafsiri phrase ni bora uyatumie ili yaeleweke kwa urahisi, wengine tumesoma St Kayumba!
FOUNDER WA EVOLUTIONIST IDEA ALIKUWA NI THEOLOGIAN BY PROFESSION CHARLES DARWIN BABU YAKE ALIYEMLEA AKIWA NI FREEMASON NA NDIYE ALIEMUINJECT HIZO IDEAS PIA. KITABU CHA PRINCIPLES OF GEOLOGY ALICHOKIWA ANAKISOMA KIKAMUINFUENCE KUTUNGA HUO HUONGO KILIANDIKWA NA CHARLES LYELL AMBAYE BY PROFFESSION NI MWNASHERIA. HUKU ALIYEANZISHA HOJA YA DUNIA IMEUMBWA MIAKA MINGI SANA NA HICHO NDIO KICHAKA CHA UONGO ULIOUATTACH NI JAMES HUTTON AMBAYE ALIKUWA MKULIMA BY PROFFESSION.Ndugu. Ni vyema sana kuwa unaongea ukweli na ujue unachokiongea. Unaweza kuwa ndio unatenda dhambi wewe mwenyewe. Usidanganye kuwa evolution ni belief. Pia usidanganye haina evidence wakati evidence zinaonekana. We unadhani mzungu na mchina na african walitokea tu? Simba kuelekea kufanana na paka ilitokea tu? Nyangumi kuzaa ilitokea tu, na popo kuwa na manyoya ilitokea tu mungu ndio aliwaumba hivyo hivyo...
Evolutions is science and not a belief. STOP lying, fahamu unachokizungumza na kuwa na ukweli.
Nakupatia evidences za evolution
101 Reasons Why Evolution is True | ideonexus.com
Three Main Pieces of Evidence Supporting Evolution
Kwa maelekezo yako tuambie Dinosaurs kwanini hawakwepo kipindi cha mwanadamu, Kwanini papa ni mnyama, kwanini kuna races, species mpya zilitoka wapi. Na kwanini unakataa kuwa mwanadamu anabadilika kutokana na mazingira.
Kwanini ufanano wa Embryos? Coincidence?
Kwanini ufanano wa aina za mifupa kwa wanyama? Coincidence?
Hayo mafuvu ya kale ambayo yanafanana na mwanadamu na nyani kwa mbali yalikuwa ya kina nani? Kwanini walikuwa wanatumia mawe kama tools za matumizi? Na walienda wapi?
Haya mawe walikuwa wanatumia nani? Na kwanini yanakutwa na hiyo mifupa na mavufu ya jamii hizo?
Kwanini huu ufanano?
Ukiweza kunijibu na kutoa points nitasadiki mawazo yako vyema. Lakini ukishindwa niache niamini ninavyoona ni logic kwangu.