KirangaSo you know everything there is to know about this topic. You're 100% knowledgeable?
Right?
Actually let me use the same example to my advantage.
Thanks kwa kunipa mfano
Kwa nini mwili unarespond hivyo. Why does the body kill the unwated pathogen and the cell?
Most of the pathogens come in anget incorporated to the cell in one way or another
They inflict damage upon the cell hiyo damage inafanya ile cell hata baadae pathogen akitolewa ile cell haiwezi kufunction the same way as cells nyingine na ndio maana mwili uidesteoy hiyo cell na kuzalisha another cell ambayo itafanya kazi optimally
Ni the same thing with sin na shetani.
Sin inacorrupt a human being, inadestroy relationship kati ya Mungu na mwanadamu, inamfanya binadamu afunction tofauti na vile ambavyo inapaswa, sin corrupts innocence
Mungu ametupa njia ambayo we may be redeemed from slavery of sin ila tu ni kwa wale watakaomwamini kwani ametupa free choice kumwamini na kuukubali mpango wake au kusuffer the consequences
Kama binadamu atakataa dawa aliyotoa Mungu against sin na ikafika ile siku ya mwisho itakuwa ni hivi.
Mungu amekupa an option dhambi yako iondolewe kupitia wewekurudi katika imani kwake ukaikataa ukaamua kubaki na dhambi yako
Therefore kwa nini usife nayo. Dhambi yako itateketezwa na wewe utateketezwa kwa kuwa upo corrupted na mbali ya kuwa corrpted ukakataa kupokea dawa ya tatizo hilo
Dont you see the fairness there?
Hivi kama Mungu yupo, mbona tunabishana juu ya uwepo wake?
Kwa sababu hamtaki kuamini
Kwa nini hatubishanii juu ya uwepo wa vitu vingine ambavyo wengi wetu hatujawahi kuviona?
Kwa sababu hamjaamua, mkiamua kubisha mtabisha
Kwa nini Mungu ajifiche mbali na watu wake?
Yupo kila sehemu
Kuna ubaya gani kwa Mungu kuonekana kwa viumbe wake?
Hakuna ubaya, ukitaka kumuona, utamuona
Far from it.So you know everything there is to know about this topic. You're 100% knowledgeable?
Right?
Answer my question, why hakuna sokwe-mtu au paka-mjusi duniani?
Nilikuwa najibu suala la evolutionAnswer my question, why hakuna sokwe-mtu au paka-mjusi duniani?
Those who know know that 100% is bunkum.Kiranga
If that's how you view things i am afraid i will have to rest my case kwako
I can't continue reasoning with a person who thinks he knows 100% about something.
I will continue reasoning with the other guys here
If at any time you're ready to join me so that we dig together and set things straight I am here you can always PM me
You don't believe in God, but I do
So I will pray for you
Ukiwa tayari you can always check me out. I may be busy but i can make the time
The presence of diseases is evidence that there is no God. Not this omnipotent omniscient omni benevolent God.Nice.
But Unlike diseases hatuwezi kutibu seli zilizokufa and we wish to do that. Though kuna baadhi ya disease ambazo after treatments tunarepair cells. But sio our concern here. Our main them ni Chanzo na adhari ya chanzo. Chanzo na kilichoathiriwa bila kuwa chanzo ya itself!
Lakini God is able to do anything. He is loving and he loves us. He loves everyone both good and bad people.
Then He knows that Satan IS THE CAUSE! Then why execution isiwe ya source? I think hujaenda kwenye core ya swali langu.
Those who know know that 100% is bunkum.
However, you do not offer anything new here.
How can you uphold logic while believing in the idea of a self contradicting God?
That in itself is a contradiction.
The presence of diseases is evidence that there is no God. Not this omnipotent omniscient omni benevolent God.
How could such a God create a world in which disease is possible while he could have created one in which disease is not possible?
What is the point of studying your material if at all at any point I ask you a question you can't answer you can just tell me "God is to difficult to understand with the human mind, you must believe he exists. Just believe." ?Br
Brother I think i have made myself clear
You want to discuss with me
We take materials that support your stance
And then materials that support my stance study them point to point
Then come to a conclusion
Otherwise all you're doing here is flaunting your stance hopelessly because i no longer consider you credible since you want to make a GRAND conclusion based on one side of the story
And that for me makes me lose all the credibility i thought you had
Why not swallow your pride and choose to go through the materials again (if you have really read both sides of the argument)
I will swallow mine and read the contradictions you posted and Compare them to scripture and reach a conclusion
Why don't you want to dive into this?
Are you afraid that you'll be proven wrong?
What if you're proven right in the end?
Doesn't that give you even a higher ground to stand on?
Nice.
But Unlike diseases hatuwezi kutibu seli zilizokufa and we wish to do that. Though kuna baadhi ya disease ambazo after treatments tunarepair cells. But sio our concern here. Our main them ni Chanzo na adhari ya chanzo. Chanzo na kilichoathiriwa bila kuwa chanzo ya itself!
Lakini God is able to do anything. He is loving and he loves us. He loves everyone both good and bad people.
Then He knows that Satan IS THE CAUSE! Then why execution isiwe ya source? I think hujaenda kwenye core ya swali langu.
That explanation does not cut it.Actually utaambiwa Mungu aliumba dunia perfectly lakini Shetani ndio alileta mabaya yote. Including earthquake, volcanic eruption, floods, droughts, global warming, dry seasons vyote havikupangwa na mungu ila baada ya Shetani kuwa nyoka anayeongea bustanini na kushawishi mwanamke kula tunda na bwana wake dunia ikalaaniwa. Wanyama wakaanza kulana, some of bacteria na viruses wakaingia kwenye miili na kuwa pathogens....idk
Sounds like viruses na bacteria wote walikuwa wana exist bila impact. How? I don't know.
Sounds like a mythological idea to me. Hard to get a picture. And they convinces me that what they imagine is accurate. Man I don't know, I think My Mind is so hard to accept things and ideas ambazo hazina logic.
Yeah God is able to do anything but that doesnt mean he wants to do anything
He loves us very much, but he is a holy God, and there is something God loves more than he loves human beings.
Holiness because holiness is his primary character.
It is the first thing he wants to help man achieve.
Holiness
God will not save everyone. He will save those who are willing to be saved
He will save those who pursue holiness, those who will seek him,
will seek to be conformed to his will
Those are his criteria
He loves you but you don't desire the holiness that he desires this can't be a mutual relationship
He gives free will and he makes clear the consequences of each choice and leaves up to you to pursue your chosen path
He loves you but he doesn't compromise his holiness
Because Holiness is his main standing ground
What is the point of studying your material if at all at any point I ask you a question you can't answer you can just tell me "God is to difficult to understand with the human mind, you must believe he exists. Just believe." ?
You used the word "credible".
The Bible is nit credible.
It has countless contradictions.
I have provided the contradictions here.
You have nit resolved them.
How can you believe in such a book and continue to talk about credibility?
How can God allow his book to have such a huge number of contradictions?
I have not seen a logical answer to this question.
Wewe ushakubali kwamba Bible ina contradictions, mpaka kuna namna ya ku deal na contradictions za Bible kutoka kwa "scholars".Brother i have said it again
I will assume I am wrong on this
I will take those contradictions you gave
And i will compare them with counter arguments and reach a conclusion
As i said you're just flaunting your stance
Umesoma article yenye contradictions kwa hiyo unakuja hpa na kudai bible ina contraditions
Sawa tusome tujadili basi articles ambazo zinaelezea the other side of the coin, wewe unakataa unang'ang'ania " bible ina contradictions nimeona ile article"
Do you know how preposterous that sounds?
is that how you do logic my brother
Mimi nimekubali kujishusha na kuassume that I could be wrong, twende tukasome both sides ili mwisho wa siku tupate conclusion
I doubt hata kama hiyo article uliyopost umeisoma hata robo
SinWhat is the source of unholiness to man?
BWewe ushakubali kwamba Bible ina contradictions, mpaka kuna namna ya ku deal na contradictions za Bible kutoka kwa "scholars".
Nimekuuliza imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu kitabu chake kiwe na contradictions?
Alisinzia kidogo wakati hizi contradictions zinaingia katika Bible?
Hujanijibu.
Brother you're beginning to get on my nerveWewe ushakubali kwamba Bible ina contradictions, mpaka kuna namna ya ku deal na contradictions za Bible kutoka kwa "scholars".
Nimekuuliza imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu kitabu chake kiwe na contradictions?
Alisinzia kidogo wakati hizi contradictions zinaingia katika Bible?
Hujanijibu.