Umesahau lile tangazo la COCA COLA linavyosema "WAKATI DUNIA INAHANGAIKA NA MAISHA YAJAYO WAAFRIKA WANAKUNYWA COCA COLA!"TEHE TEHE!Dadadadeeeeki wallah! hadi waandamane UK kwa niaba yetu,huku viongozi wetu Njegele hawajui lolote! SHAME ON ME!!
wake zao wana bahati,wanaume wa JF mjifunze na nyie kusaidia wake zenu at least jioni ikifika ukidai tunda kutakuwa hakuna kisingizio cha kuchoka.
Lol! Kitambo ilitokea msiba Moshi, watu wamezunguka jeneza na kaburi. Candles zikakutana na perfumes zilizopuliziwa maiti, ikatokea kama explosion. Watu walikimbia hadi waliokuwa wameshikiliwa wakawapita washikiliaji!
unasogeza,unaendelea...siku zinasonga!:wacko: