Who can beat me in Need For Speed?

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Is there anyone who is capable of driving and play Need For Speed like me? Anyone to challenge me?
3517_234383600023336_1024728903_n.jpg

545466_234383626690000_1912310497_n.jpg

553478_234383640023332_2125707994_n.jpg

550661_234384933356536_1537460425_n.jpg
 
Need for speed ipi?
Shift,the run,hot pursuit?
Kwenye pc,ps3?
Sema then andaa challenge tucheze via LAN

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hiyo game ya casual gamers as I have need for speed The run ps3 version inaboa sana.. Hawana kipya kama enzi zile za need for speed underground 2 enzi za playstation 2... Hizo ni game for casual gamers as hadcore gamers wana deal na assasin creed 3, Mass effect 3 tukipata free time...

Katika game za magari I culd never forget during my childhood ni gran turismo 2 kitu cha playstation 1 those days mwaka 2000, ilikuwa si mchezo kwanza kitu na disc 2...

Then burnout 3 take down kwenye ps2 miaka ya 2004, then need for speed underground 1 and exclusively underground 2 miaka ya 2004 zilikuwa si mchezo

Ila game zina raha yake utotoni, kuna siku mama alinikumbusha kwamba hakawai kuniona nimefurahi katika miaka yote aliyokaa na mimi kama siku aliyoleta playstation 1 home cristmass ya 99... As watu hatukulala mpaka asubuhi hadi vidole vikaota mabaka meusi...

Nowdays hakuna x clusive games kabisa I have a PS3 but naishia kujaza movies tu kwenye hard disk yake
 
I like Carbon though zote napiga...kama una Carbon sema tuandae challenge. For PC pls.
 
Siku hizi hawana mpya zaidi ya kuzimodify na kuongeza graphics tu...kama sasa hivi Need for Speed Most wanted wameirelod na itarudi tena mwisho wa mwezi huu. Ila mimi naipenda sana need for speed carbon kuliko need for speed zote.
 
Hiyo game ya casual gamers as I have need for speed The run ps3 version inaboa sana.. Hawana kipya kama enzi zile za need for speed underground 2 enzi za playstation 2... Hizo ni game for casual gamers as hadcore gamers wana deal na assasin creed 3, Mass effect 3 tukipata free time...

Katika game za magari I culd never forget during my childhood ni gran turismo 2 kitu cha playstation 1 those days mwaka 2000, ilikuwa si mchezo kwanza kitu na disc 2...

Then burnout 3 take down kwenye ps2 miaka ya 2004, then need for speed underground 1 and exclusively underground 2 miaka ya 2004 zilikuwa si mchezo

Ila game zina raha yake utotoni, kuna siku mama alinikumbusha kwamba hakawai kuniona nimefurahi katika miaka yote aliyokaa na mimi kama siku aliyoleta playstation 1 home cristmass ya 99... As watu hatukulala mpaka asubuhi hadi vidole vikaota mabaka meusi...

Nowdays hakuna x clusive games kabisa I have a PS3 but naishia kujaza movies tu kwenye hard disk yake

Dah! naona maluweluwe............siye utoto wetu tulikuwa tunafukuzana na ndege (vijeli na majorowe).
Bila kusahau gombania goli na kufukuzana na mbwa koko usiku
 
hapa utanishinda ila jaribu kwenye call of duty yoyote unayopenda, medal of honor au hata max payne yoyote kati ya zote huwezi kugusa....
 
Hiyo game ya casual gamers as I have need for speed The run ps3 version inaboa sana.. Hawana kipya kama enzi zile za need for speed underground 2 enzi za playstation 2... Hizo ni game for casual gamers as hadcore gamers wana deal na assasin creed 3, Mass effect 3 tukipata free time...Katika game za magari I culd never forget during my childhood ni gran turismo 2 kitu cha playstation 1 those days mwaka 2000, ilikuwa si mchezo kwanza kitu na disc 2... Then burnout 3 take down kwenye ps2 miaka ya 2004, then need for speed underground 1 and exclusively underground 2 miaka ya 2004 zilikuwa si mchezoIla game zina raha yake utotoni, kuna siku mama alinikumbusha kwamba hakawai kuniona nimefurahi katika miaka yote aliyokaa na mimi kama siku aliyoleta playstation 1 home cristmass ya 99... As watu hatukulala mpaka asubuhi hadi vidole vikaota mabaka meusi...Nowdays hakuna x clusive games kabisa I have a PS3 but naishia kujaza movies tu kwenye hard disk yake
jaribu FEAR 3 ni noumaaa, story line , visual effects, action ni kali niaje... assasin creed mbona hakuna kitu
 
hapa utanishinda ila jaribu kwenye call of duty yoyote unayopenda, medal of honor au hata max payne yoyote kati ya zote huwezi kugusa....

Kwa kweli ukinipeleka huko kwenye section ya mijegeja utanifunika
 
Back
Top Bottom