Who can beat me in Need For Speed?

Who can beat me in Need For Speed?

nahisi bado niko fit maana nilikua na-unlock hot persuit 2 mpaka game inafreeze hahahaha, sina uzoefu na LAN ila nilijaribu na mhindi mmoja TZ ikasumbua tu. Kuna uwezekano kutumia internet kucheza na mwingine hasa huku africa? Am only sure it is possible UK ilikua ikikubali.
 
dah! Mm mpaka leo nna zle console za ktambo za super mario na super sonic...

Hayo mengne mmenitupaaaaa
 
hapa utanishinda ila jaribu kwenye call of duty yoyote unayopenda, medal of honor au hata max payne yoyote kati ya zote huwezi kugusa....

MODERN WARFARE, CALL OF DUTY MW3 .. PS3 umecheza...! aim stuck some where unipe hint ! ...

Operation dust to dust .. chasing down makarov and kill him! .. how can i kill that bastrd ? My war end with him! mimi na yuri tunakwenda na kuishia kwenye lift! pale .. inatokea helcopter na kutumaliza.. nitapitaje ile stage! "kama kuna cheating methode yoyote
:becky: .." namtamani sana markov! alinipeleka hadi somalia bana ....

IMAG0205.jpg

​
 
nahisi bado niko fit maana nilikua na-unlock hot persuit 2 mpaka game inafreeze hahahaha, sina uzoefu na LAN ila nilijaribu na mhindi mmoja TZ ikasumbua tu. Kuna uwezekano kutumia internet kucheza na mwingine hasa huku africa? Am only sure it is possible UK ilikua ikikubali.

yep it is...ili mradi uwe na connection nzuri halafu uwe umejisajili EA.
 
nimejaribu kuhost server online for NFS Most wanted called "Tanzania" imekubali, haya anaetaka challenge aseme :majani7:
 
bahati mbaya mie sina most wanted....kama una carbon unakaribishwa.
 
MODERN WARFARE, CALL OF DUTY MW3 .. PS3 umecheza...! aim stuck some where unipe hint ! ...

Operation dust to dust .. chasing down makarov and kill him! .. how can i kill that bastrd ? My war end with him! mimi na yuri tunakwenda na kuishia kwenye lift! pale .. inatokea helcopter na kutumaliza.. nitapitaje ile stage! "kama kuna cheating methode yoyote
:becky: .." namtamani sana markov! alinipeleka hadi somalia bana ....

IMAG0205.jpg

​
dah kumbe tupo wengi, hii sehem ya kumfukuzia huyu mjinga na mimi ilinisumbua sana nakumbuka..afu hata sijui nilipitaje pale maana nilicheza mda kidogo, ila pale pa helcopter nakumbuka ni unabidi uwe sharp sana kuiwahi ile helcopter, kuna namna hivi ukiilenga kwenye panga zake hivi inakuwa kama inapoteza stamina kisha mnasepa..
 
mkuu nimepita finally !.. nilibadili weapon na kutumia M4A1 nikakaa upande wa kulia... nikamvizia yule pilot akielekea kushoto nikaidungua....

nimefika mahali yuri anakufa ananiambia nimuache nimkimbize makarov .. tatizo sasa kumkamata jamaa .. ananiwahi ana escape na helicopter .. sijui nitamuwahi vipi.. ningekuwa na weapon yoyote ningemdungua ...

mkuu ulimkaata vipi jamaa...?..
 
Is there anyone who is capable of driving and play Need For Speed like me? Anyone to challenge me?
3517_234383600023336_1024728903_n.jpg

545466_234383626690000_1912310497_n.jpg

553478_234383640023332_2125707994_n.jpg

550661_234384933356536_1537460425_n.jpg
Daa umenikumbusha mbali nilikuwaga nayo hii kitu na my bro 2007 kwenye psp ilikuwa tamu sana we did spend 36hrs until tukamaliza all missions 100% ulishavunja hiyo. Alafu kwenye Xbox ilikuwa version tofauti tukapiga ndani ya 26hrs 100% complition na kwenye pc ilikuwa version tofauti pia ya carbon tukapiga another 4 days hiyo ni recodi yetu enzi hizo.... would like to know yours though
 
mkuu nimepita finally !.. nilibadili weapon na kutumia M4A1 nikakaa upande wa kulia... nikamvizia yule pilot akielekea kushoto nikaidungua....

nimefika mahali yuri anakufa ananiambia nimuache nimkimbize makarov .. tatizo sasa kumkamata jamaa .. ananiwahi ana escape na helicopter .. sijui nitamuwahi vipi.. ningekuwa na weapon yoyote ningemdungua ...

mkuu ulimkaata vipi jamaa...?..
yule mshkaji nakumbuka nilijitoa mhanga kumfukuzia yeye tu, nilitoka nduki kumfuata yeye tu bila kujali risasi zinazoelekezwa kwangu, nilivyomsogelea karibu nikamlipua huku nakimbia kisha nikiunganisha kuingia kwnye baadhi ya zile nyumba pembeni, ila sasa kuna swala la mbwa wale wanaboa kinyama, nao ni kuhakikisha unawawahi kuwauwa wakiwa mbali wanakuja maana wakikusogelea hawakuachi..i tried this several times nakumbuka ndo nilipita kwa namna hii pale..
 
mkuu nadhani umechanganya episodes ... operation dust to dust ni episode # six katikaCALL OF DUTY MW3, .. ! pale unapomuacha yuri kmkimbiza markarov unakuwa hauna weapon yoyote ...

mbwa mkuu mi alinisumbua nilipokuwa kwenye "operation back on the grid"..nilofanya
sierra leone kuwafuatilia wale waasi wa PRF kulikuwa na fisi kule wale fisi ni noma!! ... kitu nilichopenda ile opperation ya sierra leone ni snipper rifle nilikuwa nawadungua balaa ... tulipomkamata yule boss nadhani anaitwa "wardaabe" akatugaia siri alafu tukampa moja ya kichwa...

wazee tukatia timu somalia.. kule kulikuwa na wasumbufu... sijui alshabab wale...
:becky:

Natafuta pad original za kutumia kwenye PC, nilikua nazo fake zimearibika!
Mwenye nazo ani-PM nahitaji za kununua.
 
mkuu nadhani umechanganya episodes ... operation dust to dust ni episode # six katikaCALL OF DUTY MW3, .. ! pale unapomuacha yuri kmkimbiza markarov unakuwa hauna weapon yoyote ...

mbwa mkuu mi alinisumbua nilipokuwa kwenye "operation back on the grid"..nilofanya
sierra leone kuwafuatilia wale waasi wa PRF kulikuwa na fisi kule wale fisi ni noma!! ... kitu nilichopenda ile opperation ya sierra leone ni snipper rifle nilikuwa nawadungua balaa ... tulipomkamata yule boss nadhani anaitwa "wardaabe" akatugaia siri alafu tukampa moja ya kichwa...

wazee tukatia timu somalia.. kule kulikuwa na wasumbufu... sijui alshabab wale...
:becky:

duh, inawezekana kweli nimechanganya maana hizi game nimezicheza kwa kuzirudia rudia sana afu nimeshacheza karibu zote, saiz nipo naendelea na COD5 - World at war...cant get tired of it! hizi game tamu sana..ila kipande ninachokumbuka mimi ni unatakiwa umfukuzie jamaa flani hivi umuue, inaanza kuna sehem mmejificha hivi kwa juu mnavizia ghafla sijui linarushwa bomu vile(kifaru nahisi) au sijui ni risasi...yaani kunatokea ambush pale kisha wewe unajeruhiwa na unakuwa kama upo dizy flani hivi afu unamuona huyo jamaa anakimbia wewe umelala chini, mkuu anakwambia umfukuzie asitoroke..kisha ndo unaanza kupata stamina na unakuwa huna silaha inabidi ukachukue (kuna sehem unaikuta ipo chini) then ndo unaanza kumfukuzia vichochoroni kisha unatokea mtaa wa pili unakuta jamaa wafuasi wake wametanda...hapo ndo shughuli inapoanza..sasa sijui kama ndo ulikuwa unamaanisha kitu kama hiki au laah...
 
Kuna siku nilikua naangalia movie ya action, afu kwenye movie kukawa na bonge la mvua ya mawe, mara nikatumwa dukani, si nikatoka na mwamvuli!,, .
 
Back
Top Bottom