Who can beat me in Need For Speed?

Who can beat me in Need For Speed?

NFS za kijinga....trying playing real simulation kama GT5 au forza. I m currently playing Dirt 3 na yeyote alozoea assist za NFS hafiki mahali!!!
 
Duh!!! Aisee hizo za simulation sijawahi kuzicheza mkuu.
 
Hiyo gemu ilinishinda kitambo sababu visual quality yake inaleta upofu. Kitu ipo Mid-Town Madness
 
I play gran turismo 5 ps3 version,, ipo real sana, although binafsi sio mpenzi wa racing, also kama mtu ana ps3 anitafute nimpe god of war 3 ye anipe cd nzuri ya mission as nimeshaimaliza siitumii nowdays..

Kuna kitu kinaitwa tourist trophy wale wa recing jaribun kuichek ipo vizuri sana,,

Binafsi kwenye racing napenda sana burnout paradise as I used to play with my girlfriend, ni nzuri sana for fun although sio realistic kama gran turismo sema haiboi..

As kwenye racing kuna crashing kumuharibia your opponent car... Even my sisters used to play it those day at home, nashangaa sweethrt nae kaanza kuwa addicted nayo although mwanzo hakupenda games kabisa
 
I play gran turismo 5 ps3 version,, ipo real sana, although binafsi sio mpenzi wa action, also kama mtu ana ps3 anitafute nimpe god of war 3 ye anipe cd nzuri ya mission as nimeshaimaliza siitumii nowdays..

Kuna kitu kinaitwa tourist trophy wale wa recing jaribun kuichek ipo vizuri sana,,

Binafsi kwenye racing napenda sana burnout paradise as I used to play with my girlfriend, ni nzuri sana for fun although sio realistic kama gran turismo sema haiboi..

As kwenye racing kuna crashing kumuharibia your opponent car... Even my sisters used to play it those day at home, nashangaa sweethrt nae kaanza kuwa addicted nayo although mwanzo hakupenda games kabisa

Hiyo tourist Trophy ni kwa PS or PC?
 
MKATA KIU, sijui nikutafute. GoW yangu inagoma nikipita 'The Carvens Hidden Passageway' disc inagoma, I wonder why maana nimeichana kwa mfuko wake juzjuz tu.
 
Last edited by a moderator:
Dah! naona maluweluwe............siye utoto wetu tulikuwa tunafukuzana na ndege (vijeli na majorowe).
Bila kusahau gombania goli na kufukuzana na mbwa koko usiku

Umeona eeh?! Aisee tunazeeka sasa! Nimependa vijeli na majorowe....sie kwetu tulikua na majonjo, vindege kundi,vindege sia bila kumsahau kinyanyamba mbayuwayu japo haliwi. Sijutii utoto ule kamwe! Ila i feel pity for my daughter and son sijui watacheza nini?
 
Is there anyone who is capable of driving and play Need For Speed like me? Anyone to challenge me?
3517_234383600023336_1024728903_n.jpg

545466_234383626690000_1912310497_n.jpg

553478_234383640023332_2125707994_n.jpg

550661_234384933356536_1537460425_n.jpg

Nataka NEED FOR SPEED YENYE LAND ROVER 109
 
Umeona eeh?! Aisee tunazeeka sasa! Nimependa vijeli na majorowe....sie kwetu tulikua na majonjo, vindege kundi,vindege sia bila kumsahau kinyanyamba mbayuwayu japo haliwi. Sijutii utoto ule kamwe! Ila i feel pity for my daughter and son sijui watacheza nini?

Huwa nawaonea huruma sana hawa watoto............kila siku kuna activities nyingi tena za ubunifu (kutega ndege, kutengeneza magari, tiara, kutengeneza watoto wa udongo n.k) akili inakuwa na mazoezi unafanya.

Unakumbuka ulimbo?
 
Is there anyone who is capable of driving and play Need For Speed like me? Anyone to challenge me?
3517_234383600023336_1024728903_n.jpg

545466_234383626690000_1912310497_n.jpg

553478_234383640023332_2125707994_n.jpg

550661_234384933356536_1537460425_n.jpg
Nipo baba...natisha kama njaa NEED FOR SPEED CARBON nimecheza mpaka mwisho wa siku unaambiwa vitu vyote vilivyopo katika game ambavyo vilikuwa vinauzwa now unaambiwa vipo free Baada ya kuwashinda mabosi wote(ANGEL 21,BUSHINDO,WHOLF NA MWISHO UNACHEZA NA BOSI WA HAWA WOTE ANAITWA DARIUS ANAENDESHA AUDI LEMAN QUATRO)yaani Mkuu Hii game nimecheza mpaka majina yanapanda....nimecheza game nyingi sana.Mimi na washkaji zangu(machizi game)tuna mpaka umoja wetu tafuta kwenye FB inaitwa TANZANIA GAMING SOCIETY....kama una lolote nitafute nikupe simu 0655200004
 
Duh!!! Haya bwana
 
hahaha...ulimbo mkuu!? Haswaa...! There is no better way to understand nature kuliko ile michezo ya kitoto.Mimi kwa sehemu kubwa sana niliweza kuelewa darasani laws of physics na masomo ya sayansi kwa ujumla simply kwa kukumbuka zile activites za utotoni. Ukimuona ndege aliyenasa kwenye ulimbo na kushindwa kabisa kujinasua simply kwasababu hapati external force ya kumtoa...that's very valuable lesson towards understanding Newton's laws of motion.
Sjui sasa sku hizi mtoto atoke shule ndani ya school bus,apite tution,afikie kwenye homework,then games kwenye screen,then tamthiliaya na movies......si ndio wanaishia kuota vitambi tu utotoni!

Back
Top Bottom