White IPHONE4 ORIGINAL..FROM EUROPE..

White IPHONE4 ORIGINAL..FROM EUROPE..

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
I Phone 4 32gb inauzwa nyeupe..imewasili nchini leo tar 8/9/2013 kutoka europe bei ni milioni moja na laki ..
maelewano yapo.
contacts:
0714 925 525
nipo DSM.
9k=
9k=
Z
 
Attachments

  • White-iPhone-4.jpg
    White-iPhone-4.jpg
    21.6 KB · Views: 295
Aise,sasa ikiwa iphone 5 si itakuwa balaaa
 
Hata kama ningekuwa mgonjwa na hiyo iphone ndo dawa bora ningesubiria kufa tu
 
Iphone 5 mpya mil 1.2 dukani wewe ka iphone 4 tena used unauza bei kubwa hivyo nenda jokwaa la gadgets uone mwenzako anauza lak 6 na negotiation ipo
 
I Phone 4 32gb inauzwa nyeupe..imewasili nchini leo tar 8/9/2013 kutoka europe bei ni milioni moja na laki ..
maelewano yapo.
contacts:
0714 925 525
nipo DSM.
9k=
9k=
Z

Mkuu, hapo kwenye bei kuna tatizo, huenda ndiyo kwanza unafika Tanzania baada ya siku nyingi za kukaa nje, Bongo ya leo tofauti kabisa na ya miaka ilee! Hiyo simu unayoiuza kariakoo unaweza kuipata kwa laki 6 ikiwa mpya, kama imetumika mpaka laki 3.5 kutegemeana na hali, kuna jamaa wanajiita iStore wanauza iPhone 4s mpya kabisa kwa 800K, iphone 5 32 Gb wanauza 1.2M! iPhone 5 used zinapatikana mpaka laki 6!!!! Chukua muda wako mkuu uzunguke kwenye masoko mbalimbali, Mlimani City, nenda Posta nenda Kkoo baada ya hapo ndiyo upange bei ya hiyo simu, otherwise watu watakucheka!!!
Ni Ushauri tu!
 
uskute kanunua bei iyoiyo so he wana make some profir
 
Thankx kaka
 
Back
Top Bottom