Mkuu mbona unamfundisha ufisadi jamaa.Ukitaka kusave kabisa data mwambie jamaa yako akudownlidie au kadownload ofisin hapo utakuta data zako zipo vile vile.
Vipo vya ku stream na vipo vya ku dawnload.Streaming ndio mpango mzima nowadays.
Ni sawa....cuz ht unapoangalia online ni lazm system ya sim inload bila kusave data then ndo uone, na pia kudownload inaload na kusave mojakw mojKati ya kudownload na ku watch online kipi ni afadhali? i mean hakili Mega bytes nyingi?
Nipeni ujanja kabla sijaanza kufanya uamuzi.