Jibu ni 3, yaani hii test nzuri sana kwa vijana wa kizazi cha leo wasioweza kupembua mambo na kuwa makini katika kurudia rudia swali ili upate kuelewa.
Mimi wa zamani nilosoma enzi za nyerere nimerusia rudia mara mbili mbili kuangalia na kugundua.
Kuna sehemu zimezibwa kwenye kikombe namba 4,5 na 6. Pia Namba 7 kumetoboka. Kwahiyo imebaki Namba 1 ambayo inapokea namba 2 ambayo mdomo wa kupoea upo juu na namba 3 angalau mdomo wa kupokea upo juu kidogo.
So nahisi jibu 3.
Hata ukisema namba 2. likijaa maji yanaenda namba 7 yanamwagika so hakuna kujaa hapo kwenye namba 2.
Watoto wa siku hizi NAWAPA WOSIA! muwe mnasoma swali mara mbili mbili kabla hamjajibu!