When You Kiss Me

When You Kiss Me

Hayo mambo ya ku kiss, kuna watu wawili tofauti waliwahi kuniambia nahitaji tuisheni ya ku kiss, mmoja jirani yangu, mmoja ex-office mate wangu. Ila kuna mdada mmoja aliwahi kunivika kilemba cha ukoka eti, I am a good kisser. Sasa mpaka leo wala sijui nichukue lipi....Ni kama kupima malaria Agha Khan wakwambie huna halafu uende Hindu Mandal wakwambie una malaria 2.....!!!
 
Masaki...................umenichekesha kwa nini usijiamini?? Believe me YOU are a good KISSER!!! (Usiniulize nimejuaje!!! lol)

Jiamini nafsi yako utaweza!!
 
Asante sana MwanajamiiOne!! Najua utakuwa umecheka hapo kwenye kupata majibu ya malaria mawili mawili tu, mara nyingi ikitokea hivyo, huwa nachagua yale ya hospitali iliyosema kwamba sina malaria. Hahahahahah!
 
Hahahaah inategemea huyo anayekwambia huna malaria analinganisha na nani mwenye malaria!! pengine kigezo cha kipimo chake ni ......alopita alikuwa na malaria kwa kuwa alikuwa anatapika; huyu hatapiki so hana malaria..............

Naweza kukujaribu ili nihakikishe?? am the 'Tester" hahahah
 
Imebidi niusikilize huu wimbo then ndio niendelee na shughuri zangu.. Huu wimbo poa!
 
Hahahaah inategemea huyo anayekwambia huna malaria analinganisha na nani mwenye malaria!! pengine kigezo cha kipimo chake ni ......alopita alikuwa na malaria kwa kuwa alikuwa anatapika; huyu hatapiki so hana malaria..............

Naweza kukujaribu ili nihakikishe?? am the 'Tester" hahahah

Jamani kumbe dunia hii pamoja na maroroso yake yote bado watu wakarimu na wanyenyekevu, wenye kuguswa na shida za wenzao bado wapo. Hapo kwenye bluu MwanajamiiOne umenifurahisha sana, yaani meno yote 32 ya mtu mzima yako nje hapa ninapoandika bandiko hili....I can't wait ''the test''!! Tehetehetehtehe
 
Unajua kukiss au ndio ulimi unautoa kama nyoka
 
Gaga, angalia tulikotokea mimi na MwanajamiiOne kwenye hii thread utagundua kwanini tumefikia hapa. Nilisema kwamba sina uhakika kama I am a good kisser kwa kuwa wengine wananisifia na wengine wananiambia nahitaji tuisheni ya kissing!! Ndio maana MwanajamiiOne katoa ofa ya ku test how good am I kwenye kissing ili atoe MARKS!! Upo hapo??
 
Nipo mkuu nimedandia bus kwa mbele
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jamani since nimeusikia huu wimbo humu i cant stop playing it, umeniingia kama nini sijui, nahitaji rehab
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom