When You Kiss Me

When You Kiss Me

Madabwada loh haya ya zamani ipi sasa maana ziko za zamani mbili!! Ya uso na ya mgongo!!

Niliipenda ile ya uso ... ilishabihiana sana na busara zako (siku hz naona unazichakachua kidogo .... l.o.l)
lkn BB ameshauri uirudishe ya mgongo ... sasa sijui inakuwaje hapo!
 
Niliipenda ile ya uso ... ilishabihiana sana na busara zako (siku hz naona unazichakachua kidogo .... l.o.l)
lkn BB ameshauri uirudishe ya mgongo ... sasa sijui inakuwaje hapo!

madabwada jamani......uwii nadhani haya maisha mapya nlonayo yananichakachusha...........ndo shida ya kuwa matron wa boarding school.!!
ntaitafuta tena niiridishe mwe sas asijui BB atasemaje maana kwake yeye mgongo ulimmaliza!
 
  • Thanks
Reactions: EMT

MwanajamiiOne nilitaka kukuambia hili muda mrefu naona wadau nao wamenote. Ile avatar yako ya kwanza ndio ilikuwa safi. It really reflected your ID and your writing. Tutaandamana hapa.
 
MwanajamiiOne nilitaka kukuambia hili muda mrefu naona wadau nao wamenote. Ile avatar yako ya kwanza ndio ilikuwa safi. It really reflected your ID and your writing. Tutaandamana hapa.

EMT............aksante mkuu.........heri shari kamili kuliko shari nusu......ngoja niisake (Si ni ile ya Uso tu??) Lol pale ninapolazimika kuvaa kaniki mwaka mzima pasipo kubadili..............lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT............aksante mkuu.........heri shari kamili kuliko shari nusu......ngoja niisake (Si ni ile ya Uso tu??) Lol pale ninapolazimika kuvaa kaniki mwaka mzima pasipo kubadili..............lol

Ya ile ya uso wenye macho fulani hivi. Wala usivae mawani ya jua. lol
 
avatar11417_25.gif

Much better now
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mmmmmh!!! sikuingia mitiniiiiii... mbona wewe umeingia mitiniiiii??? teh teh teh ....
na wewe bishosti?????ulitaka kumnyang'anya ashadii la aziz wake, upo??
 
ha ha ha... Gaga nishakujua saizi, na hii yoote ni morning glory umepata...

Thank you dear... At least anakumbuka the kiss ilivyo maana wengine
hawajui ku kiss (most wakaka wanafikiri ukiwa mtaalam kwenye 6 kwa 6 inatosha....lol)
Enways there a people wanajua kukiss bana!

Last edited by a moderator:
teh teh teh!!! mara mbili????
Kumbe tayari aisee uko fasta ni aje? kwa hiyo ulivotosheka na wa ashadii ukaamua kumchukua na wilbald wangu? wewe ni nouma
 
aaaaaaaaiiiiiiiii!!! woooote wangu.... hawaondoki mpaka niwaruhusu hamna lenu nyie.... teh teh teh!!!
 
Haya bwana kizuri bado wanakumbuka home, hta saa nane usiku wanarudi, usiwalowekee tu nguo zao wakashindwa kurudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom