When You Kiss Me

nilikuuliza tu manake unaonekana ni mwanamke unayejiamini sana kwa kusema.."Huyu Binti haoni ndani kwangu..."

ha ha ha.... Lazima nijiamini Wilbald katika ulimwengu wa leo mabinti wazuri wamekua wengi mpaka inaboa...
ninaweza nikawa saizi nimekua mzee but sikati tamaa. kama wife wa huyo Ashton Kutcher wako...
kijana mdogooo but the wife mmmmh!!! au unasemaje??
 
But our chemistry do match...and what bind us together are love,passion,happiness,values and finally our potential familly na ndo mamaa anajiandaa tukale raha Ar town.
 
But our chemistry do match...and what bind us together are love,passion,happiness,values and finally our potential familly na ndo mamaa anajiandaa tukale raha Ar town.
Yah sweetie machemistry yamekubali ndio cha maana age haijalishi
 
soundz gud
 
Gaga, I thought of hii thread yako nilipangalia hii video chini ( Hao characters ni kwenye Grey's Anatomy series, niliipenda sana hiyo couple)!!..matukio yao yameendana na wimbo!!..

Last edited by a moderator:
Gaga, I thought of hii thread yako nilipangalia hii video chini ( Hao characters ni kwenye Grey's Anatomy series, niliipenda sana hiyo couple)!!..matukio yao yameendana na wimbo!!..

Mbona sioni link yoyote? embu niwekee niwaone BJ
 
Last edited by a moderator:
But our chemistry do match...and what bind us together are love,passion,happiness,values and finally our potential familly na ndo mamaa anajiandaa tukale raha Ar town.
Kweli kabisa kwenye mahusiano kinacho matter ni upendo, age its just a number
 
Gaga, I thought of hii thread yako nilipangalia hii video chini ( Hao characters ni kwenye Grey's Anatomy series, niliipenda sana hiyo couple)!!..matukio yao yameendana na wimbo!!..

Mie atlast jana nimefanikiwa kuuban, ni mzuri ajabu
 
Last edited by a moderator:
Wapi Gaga... hata huniarifu dear kua Mpenzi kachakachuliwa??? Dah! basi tena...lol

Si umezubaa kule kwenye quotes, shauri yako si umesoma ile thread ya jamaa katoa mahali akachukuliwa na rafiki wa yule mchumba?

Najuta!! Sina nguvu... kwanza nilitaka kupaisha quote yake peke yake nikaona
soo ndo maana hadi akina Gaga wakaingia...lol... alafu kachakaculiwa.. sijui nikaedit nimtoe...

Usomtoe bwana mwache palepale nafasi yake, unajua kutamani huwa kupo tu hata asiyesema huwezi jua katamani wangapi
uzuri wake wanatamani na kwenda zao hawamaanishi toka rohoni

Asante kwa busara zako umenirudisha katika mstari... but mmmh! haya nimekubali...

Rudisha moyo nyuma hawa wenzetu viumbe dhaifu

hamana lolote... kinachonirudisha moyo nyuma sababu tu hamna kama yeye kwa sasa...lol

Afadhali maana anaweza kunywa sumu..... the same kwa swt wangu Wilbald

dah...ndo mmefika huku

kwlei kijijini noma asee, haya mambo ya si-mbioni pawa haya, na kilimo kwanza, umeme hakuna hadi nimepitwa hivi

naombeni kwanza linki ya hiyo sredi ya quotes,

halafu gaga nione binafsi nina zawadi yako, maana umenilindia Adhadii wangu hapa asije peperuka bure...

Adhadii mpenzi nimekumiso kupita maelezo....:happy:
 
Sweetie Kaizer i was sick with worry.... Am am so happy... thot i had lost you..

The link Darling is

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/146645-mmu%92s-jf-special.html
 
afadhali umejileta ulivokaa kimya nikajua umeshaona mambo iko kule, afadhali sasa mtoto wa watu atapumua
 
afadhali umejileta ulivokaa kimya nikajua umeshaona mambo iko kule, afadhali sasa mtoto wa watu atapumua

haaa Gaga nimeona sasa ivi naperuzi...hivi umeona nilipo eeh? LOL

(Huyu mtoto ninavompenda hata siwezi kuelezea Gaga..dah)
 
Thanks sweetie, siwezi kupotea kirahisi hivyo, am ALL yours, everone knows that baib...

I am right back honey....

What matters is now i know... and no dada to changanya you while am yours...
Love you Sweetie...lol
 
What matters is now i know... and no dada to changanya you while am yours...
Love you Sweetie...lol

Love you too baby...have seen Gaga? Got some present for her, she really protected you while I was away....

And there is NO ONE who can change my mind...its kind of "stuck on you"......LOL
 
Love you too baby...have seen Gaga? Got some present for her, she really protected you while I was away....

And there is NO ONE who can change my mind...its kind of "stuck on you"......LOL

ha ha ha... You really know your way to a womans heart eeeeh?? (rhetoric qn sweetie... I kno for a fact...lol)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…