Afadhali maana anaweza kunywa sumu..... the same kwa swt wangu Wilbald
Hakuna strong man linapokuja kwa kipoza roho chake
Tetetetetethetehetehteee umejuajeUtakuwa porini sana mtoto
Ngoja ni kujibu kama yesu..."wewe wasema"Si umehamia kwa romance, yaani huyu mtoto kaingia na kuharibu ndoa za watu hapa!!!! si unaona ashadii anavolalamika pia
Hujaona la aziz wake alivokuwa anachati na romance kwenye thread hii? pitia usome na post ake hapo juu alikuwa analalamikaNgoja ni kujibu kama yesu..."wewe wasema"
lakini mpenziii? romance simuda mfupi tuu jamani! na baada ya romance siunajua tena mi ning'ono tuuuuuuuuu!hadi basi.
Ashadii hajalalamika wala hajui kinachoendelea.
mmh! Sijui tuwahi dar express ya mwisho au tuchukue la private nini mpenzi.
Its nice feeling to be in love,,, au sio,,,ujumbe kaupata
Kwani D tunapanda basi kwenda arusha au ndege?Ngoja ni kujibu kama yesu..."wewe wasema"
lakini mpenziii? romance simuda mfupi tuu jamani! na baada ya romance siunajua tena mi ning'ono tuuuuuuuuu!hadi basi.
Ashadii hajalalamika wala hajui kinachoendelea.
mmh! Sijui tuwahi dar express ya mwisho au tuchukue la private nini mpenzi.
Namwelewesha hapo sweet wangu naona hajaelewa
Ngoja ni kujibu kama yesu..."wewe wasema"
lakini mpenziii? romance simuda mfupi tuu jamani! na baada ya romance siunajua tena mi ning'ono tuuuuuuuuu!hadi basi.
Ashadii hajalalamika wala hajui kinachoendelea.
mmh! Sijui tuwahi dar express ya mwisho au tuchukue la private nini mpenzi.
Ntachukua private car!Kwani D tunapanda basi kwenda arusha au ndege?
Usihofu ilaaa chakoo chake! na chakee..chake!Wilbad usimchekee Gaga mimi na Sweetie mambo SHWARIIIII...
Huyu Binti haoni ndani kwangu...
Usihofu ilaaa chakoo chake! na chakee..chake!
ASHADII; hivi hujui gaga ni wangu wa kushoto na mimi ni wake wakulia?
sintaweza kufanya kitu ka hicho Shem wangu.
Usiwe macho tuu...kuwa mkali.mmmmh!! nisipoangalia nitachakachuliwa... hio statement?
Usiwe macho tuu...kuwa mkali.
hivi unajua sasa ivi laaaziz wako yuko wapi?
nilikuuliza tu manake unaonekana ni mwanamke unayejiamini sana kwa kusema.."Huyu Binti haoni ndani kwangu..."Wilbald umemuona nini??? wapi huko???