Ruta ila mswaki ni muhimu kabla hujasukutua na hiyo dawa nahisi, maana kuna mavitu huwa yanaganda kwenye ulimi
she ought to be with that sexually arousing avatar.............what else do you expect from her...................hicho kitanda wafikiri ni cha kukalia tu..............wewe Romance,wewe ni good kisser?
wewe Romance,wewe ni good kisser?
kweli hii ruta? nitajaribu wiki hii nioneListerine ni kiboko ya uchafu na inautoa kila mahali.......mswaki tunapiga kwa mazoea tu lakini hauna msaada sna na ndiyo maana hata usugue meno kila saa lakini kuoza meno kupo palepale.................kwa sababu dawa za meno hazina uwezo wa kuwaua bakteria..........................................
kiss me first.....................................ukiniridhisha basi nita-recommend kwa bacha................................uko wapi mbona sikuoni...................Am ready to go//...........are u???????????????????????njoo niku kiss kiss uoneee..... hutabanduka na ku kiss kiss sehemu zoooote husika!!!! teh teh teh
Mhhhhhhhhhhh!!!!
Hiyo ni special case, maana kuna mtu pia huwa anamwambia gf wake akimaliza haja kubwa aache ili aende kuangalia then anamsikia anatoa miguno, niliisikia sijui humuhumu au blog gani sijui, kuna sehemu zina nature ya hizo harufu na watumiaji wanapenda wasikie, ila sijawahi sikia mtu anapenda harufu ya mdomolakini gaga, mimi nashangaa hapa mnavyolalamika sijui,
mdomo/kinywa kiwe kisafi, je wale wanaokiss mpaka kwenye tundu za haja kubwa tusemeje..lol,
nao wasafishe kabla au?
kiss me first.....................................ukiniridhisha basi nita-recommend kwa bacha................................uko wapi mbona sikuoni...................Am ready to go//...........are u???????????????????????
Ufitina wangu tu nataka kuingilia mapenzi yenu lol????
aaaiiiiiiii!!!!!!
kuna mtu anaitwa Romance hapa, ngoja nikaangalie kama amebisha hodi.....
kuna mtu anaitwa Romance hapa, ngoja nikaangalie kama amebisha hodi.....
Hebu mwambie kabisa, nani alikuwa wa kwanza kukukaribisha?aaiiiiii!!!!!!!! nishapiga hodi kwa ma kiss kiss kibaoooo nimefurahi kurudi tena baada ya mapumziko ya burn ya mda mrefuuuuuuuuuuuu! teh teh
halafu wewe hii miguno yako hii,
hebu acha makusudi yako wewe mtoto!..............
Hebu mwambie kabisa, nani alikuwa wa kwanza kukukaribisha?
Hommie, hebu soma hapa chini tafazali.kuna mtu anaitwa Romance hapa, ngoja nikaangalie kama amebisha hodi.....
Shhhhhhiiiii usiseme kwa sauti...ngoja watoto walale.aaaiiii babu nitakusahau je wa kwanza kunikarim katika safari yangu ya tatuu jf teh teh teh... chuchu wakagua lini babuu????
Hommie, hebu soma hapa chini tafazali.
Shhhhhhiiiii usiseme kwa sauti...ngoja watoto walale.
Hebu mwambie kabisa, nani alikuwa wa kwanza kukukaribisha?