When Does the Infatuation ends.......?


Good matrix, nimeipenda sana. Too bad nilikuongezea reputation on the previous post... halafu hiyo post scriptum yako ina makosa mawili:
  1. Inaonesha hujajifunza how to mention people (shame on you, hata R.... amesha jua)
  2. Nilikua sija note the relation between ID ya Mkuu Invisible na adjective ilio tumika. sasa ngoja aje mwenyewe aone. ha ha ha ha
 

Soulmate hapa pa.......Mpaka mapenzi yatapoisha ndipo labda waweza tafsiri ilikuwa crush, lust,...hapa............umenijibu swali langu. Naona wengi walijaribu kulikwepa but thread hii imelala hapa, when does infatuation end?? SAo mtu unawezaishi miaka na miaka ndani ya infatuation, ukiinfatuate na kuinfatualiwa hadi kiama!
 

.....umeona ee? then enjoy the ride. 'Infatuation' ni sehemu ya mapenzi.
Muhimu ku observe hizo season of love zinavyo influence maamuzi na muono wa 'infatuations zako...

Ameen.
 
hivi kama unampenda mtu kiukweli, kuna haja ya makabrasha ili kujua hisia ni za kweli ama lah!

Nashindwa kuelewa kabisa hapa.

Mapenzi ya kinguonguo mbona yanajulikana from day one?
 
Mh!..............Ukweli huu wauma

Ni kweli ukweli huwa unauma. Hata watalaamu hutuambia kuwa 'ukweli unauma'. Watu wengi hasa sisi Watanzania huwa tunaogopa kusema ukweli kwa sababu eti tutawaumiza wahusika. Lakini ikiwa hatuambiani ukweli hatuwezi kupata kile ambacho tunatarajia. Huwa naamini mtu jasiri sio yule anayesema ukweli bali ni yule anayekubali ukweli japokuwa unauma.

EMT aksante kwa maelezo murua............what if kwenye uteenager wako ulikuwa 'saint' hukuwahiexperience hiyo feeling mpaka umekuja ukubwani, Cant someone strate with mature love right away?? Nauliza tu

How do you know mtu alikuwa saint wakati wa uteenger wake? Period ambayo teenagers huwa wanapitia wanakubwa na dhoruba kubwa japokuwa wengi hawaonyeshi kwa vitendo kutokana na sababu mbalimbali. Lakini kama ungefanikiwa kuingia vichwani na mioyoni mwao mambo ambayo ungeyakuta uliyedhani ni saint atakuwa siyo.

Kuna aina tatu za infatuation. Aina ya kwanza ni kuwa katika state ya "being carried away, without insight or proper evaluative judgement, by blind desire." Aina ya pili, mhusika ana evaluate hiyo infatuation though the craving or love remains unaffected by it. Aina ya tatu, regardeless of the infatuation, mhusika exhibits good or bad judgement and evaluation due to his/her culture, religion, upbringing on one hand and ignorance or recklessness on the other.

Kwa hayo hata kama ni saint lazima ata-fall kwenye type ya tatu.


Inategemea na kilichosababisha hiyo infatuation. Kama nilivyosema mwanzo umri unachangia sana. Kwa mfano teenager wa kike wengi duniani wana infatuation na mwanamuziki Justin Bieber. Lakini wakifikisha umri wa miaka 30 sidhani kama bado watakuwa na hiyo infatuation. Inawezekana pia kama Justin Bieber akiporomoka kumuziki na infatuation ya teenagers itanaishia hapo hapo. Au akitokea mwanamuzi mwingine mwenye mvuto zaidi kwa teenager zaidi ya Justin watahamishia infatuation kwake.

Kama sababu ya infactuation ni kuwa karibu nae distance from him/her can help maintain the infatuated state. Unawezakuwa na infactuation na member wa JF lakini Mod RussianRoulette akimlamba ban ya mwaka na huyo member akaamua kutumikia kifungo kwa kutoingia kwa ID nyingine, infatuation yako kwa huyo member inaweza kuishia hapo hapo. Akirudi baada ya mwaka huna time nae au utakuwa umeshahamisha infatuation kwa member mwingine

A time-honoured cure for the one who has a tender infatuated is to have thrown them continually together by doing so you will cure or you will know that it is not an infatuation at all.
 
hivi kama unampenda mtu kiukweli, kuna haja ya makabrasha ili kujua hisia ni za kweli ama lah!

Nashindwa kuelewa kabisa hapa.

Mapenzi ya kinguonguo mbona yanajulikana from day one?
Kongosho, ukiwa katika hali hiyo ya kupenda, hasa hapo mwanzo
lazima unakua na masuali mengi ambayo hujui majibu...
hivi nampenda au namtamani? Hivi ananitaka au ananipenda? etc
Kujua kua una hisia kwake na yeye kwako sometimes haitoshi
 
Last edited by a moderator:

I am not polymath like you to know all that.
I am not smart.
I am invisible (not Invisible wa JF)
I am noise generator.
I am not social.
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne

Naona Invisible ananimwagia ma-likes tuu.
Labda amekuwa suddently "infatuated" by my posts.
Nikianza kuandika pumba na "infatuation" yake itaishia hapo hapo.
Ninachojaribu kusema ni kwamba the person/object you are infatuating can also do something to stop your infatuation.
Au Invisible unasema?
 
Last edited by a moderator:
I am not polymath like you to know all that.
I am not smart.
I am invisible (not Invisible wa JF)
I am noise generator.
I am not social.
Kweli you are not smart, hapo sibishi. Na you have just proven it:
you can't be not social and a noise generator at the same time. according to the matrix you are a noise generator only when you are not smart AND social. sasa wewe sio social. so you are invisible, full stop (QED, and LM*O)
 
Reactions: EMT

Na wewe je?
 
Why are you antisocial?

I am not Anti social, I am just not very social. Or put it this way: I am not as social as I used to be. I get easily bored around people now and I don't enjoy being surrounded. But I have friends that I see (one or two at a time).
 
RR naomba niwe rafikio! Lol najaribu kuelewa 'mazungumzo" kati yako na EMT ! Na nlivyo mbeya mdomo wancheza ati
 
Infatuation ends only if you sleep with the person or far from the
person. It is an unstable feeling nothing to worry about it the long run.
if you sleep with them feelings switch of like that!
 
Mimi mara nyingi sana napenda mapenzi ya njiwa, yani njiwa dume yeye anajiliza wee afu yule njiwa wa kike analala kama kisha kubali...Yule njiwa dume anamrukia tena haichukui second wanaruka wote angani, kuna wakati naona kama hata njiwa wana akili kuliko sisi binadamu...Yani utani pembeni mtu mpaa anaowa au anaolewa hajui kama kapenda au kapendwa :A S shade:
 
Dada kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…