Whatsapp Voice Calling working 100%

Je ungependa kutumia Whatsapp voice Calling Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya
WhatsApp for Android

NB:
KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui nini na nini ni FAKE!!
Ni spam.

Sijajaribu ku download unachokisema hapo juu, Ila Sijaona officially Whatapp kutangaza hivyo, wewe utakua wakwanza duniani. Kuna beta version yenye feature hiyo baadhi ya watu wanayo wana i test sijafanikiwa kuipata.
 
kuna aliyetest hiyo kit akafanikiw??
nachjua whatsap waliachia server zao ili watu wachache wa-activate voice calls kwaajil ya majarbio.,
 
Hii ipo kwa whatsapp+ tu na inafanya kazi mi natumia lakini kwa mtu alie na whatsapp+ ndo inafanya kazi
 
Sijajaribu ku download unachokisema hapo juu,
Ila Sijaona officially Whatapp kutangaza hivyo, wewe utakua wakwanza duniani.
Kuna beta version yenye feature hiyo baadhi ya watu wanayo wana i test sijafanikiwa kuipata.

Kumbe hujajaribu!!! sasa jaribu then uje kucomment!!! kitu inapiga mzigo, ama niwekee number yako nikupigie uhakikishe kabisa kabla hujadownload
 
Kumbe hujajaribu!!! sasa jaribu then uje kucomment!!! kitu inapiga mzigo, ama niwekee number yako nikupigie uhakikishe kabisa kabla hujadownload

Ni Kwa Watu Wa Whatsapp+ Tuu Au Wote Mkuu Ray
 
Kumbe hujajaribu!!! sasa jaribu then uje kucomment!!! kitu inapiga mzigo, ama niwekee number yako nikupigie uhakikishe kabisa kabla hujadownload
0713190269....,,namba hiy hapo,,,piga nione then ntatoa fedbck kwa wengine.
 
Sijajaribu ku download unachokisema hapo juu,
Ila Sijaona officially Whatapp kutangaza hivyo, wewe utakua wakwanza duniani.
Kuna beta version yenye feature hiyo baadhi ya watu wanayo wana i test sijafanikiwa kuipata.

inatumika ila kwa whatsapp version ya 2.11.554
kwa walioroot simu zao wataipata virahisi sana ambao hawajaroot sijajua
 
Siku hizi whatsapp mpaka uroot.. Kazi ipo.

Ukiitaka whatsapp chukuchuku poa, lakini ukitaka yenye nyanya, vitunguu,iliki,vitunguu saumu,mdalasini lazima uroot simu yakomkuu!!
 
Back
Top Bottom