snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,162
Ukiitaka whatsapp chukuchuku poa, lakini ukitaka yenye nyanya, vitunguu,iliki,vitunguu saumu,mdalasini lazima uroot simu yakomkuu!!
Yenye hivyo unavyo visemea sio WhatsApp.
Kama ipo eka picha hapa.
Ukiitaka whatsapp chukuchuku poa, lakini ukitaka yenye nyanya, vitunguu,iliki,vitunguu saumu,mdalasini lazima uroot simu yakomkuu!!
Ukiitaka whatsapp chukuchuku poa, lakini ukitaka yenye nyanya, vitunguu,iliki,vitunguu saumu,mdalasini lazima uroot simu yakomkuu!!
Je ungependa kutumia Whatsapp voice Calling
Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya
WhatsApp for Android
NB:
KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui nini na nini ni FAKE!!
Ni spam.
Huyu jamaa mzush aisee,,,apige cm tuone,,
inatumika ila kwa whatsapp version ya 2.11.554
kwa walioroot simu zao wataipata virahisi sana ambao hawajaroot sijajua
Mimi nina whatsapp plus lakin sijaiona hiyo option
Whatsapp calling now working through invite ⦠| Google Nexus 5 | XDA ForumsJe ungependa kutumia Whatsapp voice Calling
Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya
WhatsApp for Android
NB:
KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui nini na nini ni FAKE!!
Ni spam.
Sasa kuna v1.66, Ichukue hapaTafuta whatsapp Plus Reborn v1.50 halafu u-enjoy kupige simu kwa aliyenayo pia!
http://www51.zippyshare.com/v/JxIDyyPy/file.html
Je ungependa kutumia Whatsapp voice Calling Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya
WhatsApp for Android
NB:
KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui nini na nini ni FAKE!!
Ni spam.
Ni Kwa Watu Wa Whatsapp+ Tuu Au Wote Mkuu Ray
Ahsante Mwl.RCT ila kwa sasa kuna version ambayo ni ya mwisho v4.4 ndo ninayotumiaSasa kuna v1.66, Ichukue hapa
IlaCode:http://www51.zippyshare.com/v/JxIDyyPy/file.html
- No VOIP call feature
- Webchat feature is not available also
Nimeijaribu tym hii na ngoma iko poa.
Shukrani
Nani nimpe namba yangu aniactivate?
Ni text whatsapp niku activate kama bado 0712083742