Nokia Dual Sim inayo support whatsapp iko moja tu. Model : Nokia Asha 210 (Imezinduliwa April 2013) .
NB: whatsapp inatumika kwa line moja tu kati ya hizo mbili. Sina uhakika kama zimeshafika bongo, ila kenya wanazo. Zinauzwa Kenyan Shilling 6999/= kwa dual sim na 6000/= kwa single sim. You have to be specific, kuna matoleo mawili ya Asha 210.
unaweza download kupitia oivstore (kama cm yako sio ya kichina)au ingia WhatsApp :: Home ukishindwa nichek 0716512719
Je, nikitoa line moja itafaa?
so Jibu sahihi smart Phone dual sim card zina support Whatsapp au???
Sure kaka, sikuwa aware na hizo updates. Asha 305 haipo kwenye list though. Thanks for the head's up.mkuu una uhakika?? Just juz tuu nokia wametoa updates kwenye asha za dual sim ambazo n touch!! Kama 308, 305 na 310