Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,569
- 8,766
Mimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Hayo ni Majibu labda uulize swaliMimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Inategemea na Simu unayoitumia na gharama yake. Mimi WhatsApp yangu iko vyema tu na hapa nachati na Nyapu.Mimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Wewe si mjinga kila mtu anakujuaInategemea na Simu unayoitumia na gharama yake. Mimi WhatsApp yangu iko vyema tu na hapa nachati na Nyapu.
Hata Mama yako Mzazi ananijua tena kuliko Baba yako Mzazi. Ungekuwa na Akili timamu ungekuja hapa JamiiForums kuhoji kama WhatsApp ipo au haipo wakati zipo njia nyingi tu na rahisi za Kugundua hilo? Na ndiyo maana nimekupiga Dongo kwakuwa nilijua kuwa Wewe ni bonge la Pumbavu (Popoma)Wewe si mjinga kila mtu anakujua
Una ushahidi wa hili au ni Porojo tu?Youtube imefungwa kisa tu kesi za hovyo hii nchi dah!
Airtel iko fresh tuMimi whatsApp yangu imegoma shida ni nini
Ana Simu ya Mkopo na hajaumalizia halafu anataka WhatsApp yake ifanye Kazi. Mwambie amalizie Kwanza deni la Watu.Airtel iko fresh tu
Wewe tukana sababu ndo unachojua ila ni uthihirusho mwingine wewe ni mjinga haswaHata Mama yako Mzazi ananijua tena kuliko Baba yako Mzazi. Ungekuwa na Akili timamu ungekuja hapa JamiiForums kuhoji kama WhatsApp ipo au haipo wakati zipo njia nyingi tu na rahisi za Kugundua hilo? Na ndiyo maana nimekupiga Dongo kwakuwa nilijua kuwa Wewe ni bonge la Pumbavu (Popoma)
We nawe siku hizi umekuwa mwehu sana au umeshaanza kukamuliwa maziwa utamu unyabeni au!?watu wanaongea wanavyoviona wewe unajitoa akili tangu asubuhi internet inakuja na kuondoka WhatsApp,Facebook,Instagram na Youtube zinasumbuasumbuaUna ushahidi wa hili au ni Porojo tu?
Niaje ni ipi mkuu? TusaidianeHata hapa bila kutumia niaje, hauingii....