Whatsapp, Twitter facebook ...! Life looks good

Whatsapp, Twitter facebook ...! Life looks good

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417671105852.jpg
 

Wakati wote wa kuomboleza msiba wa Mandela kule SA, camera za TVs zilionyesha maelfu ya raia wakiwa bwaaax, wakiimba, wakicheza, wakinywa kwa furaha! Tafsiri ilikuwa ni sawa na kusema "AHSANTE MUNGU KWA KUTUPA MTU HUYU"
kwa huyu uliemueka hapa mshana jr, na kama tutafanya km SA, bs tutakuwa na tafsiri yetu tofauti!
 
Last edited by a moderator:
Anakumbuka kipimo cha Tezi Dume.... "I wish they do it again and again"...!!!!!!!!!
 
Anaangalia bunge la escrow wadanganyika tunavyopigwa changa la macho!!
 
hapo alikuwa anafuatilia mjadala wa eskro kupitia jf!
_kama unabisha mwambie ageuze simu
 
fesibuuku...fesibuuku...twita ni kichaa kamili wa kanisa la leo...by Rose Muhando.
 
Daah, sisi wengine yetu macho tu, tegemeo lote limepotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom