Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

Kuhaha kote kwa nini, njia kuu tu ndo mpango
 
Mi huwa simjjlizi ulikuwa wapi/uko wapi/ akichelewa kufudi simind kabisa huwa namuuliza tu kwema huko utokapo? sasa imekuwa kama adhabu yeye ndo hubabaika anawahi kurudi nakunifuatilia labda nna mchepuko kumbe wala tu.
 
Hongera MwaJay
 
Hahaha hahaha inabid nirud kwenye cm zile za Nokia mkonga
 
..Hapa sijaelewa mtani!!!!
I mean kuna watu wataacha kutumia smart phones kwa hofu kuwa wapenzi wao watawalazimisha kutumia video calls na badala yake watatumia Nokia za tochi ambazo hazisapoti haya mambo mtani..

Kama hujaelewa njoo mtani nikufafanulie tukiwa "wawili tu"
 
angalia hili jambo kwa mtazamo mwingine au mzuri - hizi teknolojia sinaweza pia kutumika siku za mbele kuhifadhi heshima za watu wake kwa waume - hakuna kuchepuka n.k
 
I mean kuna watu wataacha kutumia smart phones kwa hofu kuwa wapenzi wao watawalazimisha kutumia video calls na badala yake watatumia Nokia za tochi ambazo hazisapoti haya mambo mtani..

Kama hujaelewa njoo mtani nikufafanulie tukiwa "wawili tu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Tukiwa wawili nitashindwa uvumilivu mtani!! Bora niseme kuwa nimeelewa kuliko kufungiwa chumbani na weye!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] Tukiwa wawili nitashindwa uvumilivu mtani!! Bora niseme kuwa nimeelewa kuliko kufungiwa chumbani na weye!!
Hahaha... Ujue wewe ni mtani wangu.. So tutataniana tu bhanaa.
 
Ivi hao wanawake mnaochukua mnakua hamuwaambii kama mna mke au inakuwaje? sababu kama unayo nyumba ndogo na anajua kama unamkeo kwanini mazungumzo yasimalizike saa 12jioni ukamuacha mwenzio na familia yake na wewe ukapumzisha akili na mwili? unasiku nzima ya kuchat au kuongea ivi 2hrs kuongea na mpenzi wako hazitoshi kwa siku?
hua nashindwa kuelewa wanawake wenzangu wengine sijui wakoje...
Kwa akiri hii nzuri umekaribia kuishi maisha marefu na yenye furaha mpaka kufa,Tupo na wapo Tutajenga nyumba kwa ajiri. Yako, ili uwe Good and Expensive Mistress
 
Yanini kujipa presha maisha yenyewe haya ya kusomeshana namba huku boss anachekelea eti tulizoea vya bure.
 
Back
Top Bottom