Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

Whatsapp sasa wanavunja ndoa za watu soon

Ivi kumbe atuwezi kuishi bila michepuko ee!
Aisee kweli trump akukosea alivyosema blacks tuko vizuri tu kwenye sex.
 
Uki update whatsap yako ndio video call inafanya kazi na wamerekebisha na vitu vingine vdogo dogo.
 
Acha urongo wewe... hakuna kitu kama hicho.

Whatsapp si watu wa kisportsport
kaka upo, mie ninayetumia fm whatsapp ipo siku nyingi tu, ila sema whatsapp original ilikuwa bado haijaupdate sasa zote pa1,
 
Majukumu ya kutua Bunju kula bata na babu kwa kisingizio cha magari hewa
hahhahh, sawa nikija nitakuja, nategemea katikati ya Desemba kuna training huko nitakujuza nikifika hapo Dasilamu
 
hakuna kuvunjika ndoa hapo tutatafuta alternative
hahahahahaha, miss natafuta na huwezi kudisable video call, hivi ile ya kutoa location ya mtu unapochat nae iliishia wapi manake nayo ingekuwa tamu sana hiyo
 
hahahahahaha, miss natafuta na huwezi kudisable video call, hivi ile ya kutoa location ya mtu unapochat nae iliishia wapi manake nayo ingekuwa tamu sana hiyo
ilikuwa inaleta ugomvi watu wakaona wapotezee tuunamwamba mtu tuma location anazuga zuga
 
Kwamba inafanyaje?
kumpigia mtu kwa video call na inatoa saafi kuliko imo, full HD lakini kama na unatumia GBwhatsapp, FMwhatsapp, lakini whatsapp nyingine ilikuwa bado hawajaintroduce
 
ilikuwa inaleta ugomvi watu wakaona wapotezee tuunamwamba mtu tuma location anazuga zuga
nadhani watairudisha, manake zile version nyingine za whatsapp kama kwenye groups, zinakwambia miss natafuta tangu asubuhi umechati mara kadhaa, so kwenye magroup utajua nani anasoma kama yuko library na nani anachat na kachangia mara ngapi
 
kumpigia mtu kwa video call na inatoa saafi kuliko imo, full HD lakini kama na unatumia GBwhatsapp, FMwhatsapp, lakini whatsapp nyingine ilikuwa bado hawajaintroduce
Kumbe issue ni videocall?? Si kama IMO tu?? Sasa suala la kuvunjika ndoa inakuaje sasa??

Huyu mleta mada KakaKiiza fala sana huyu.
 
Baada ya kampuni ya WhatsApp.com kuboresha mtandao wake kwakuweka video call sasa watu ndoa zao zipo hatarini kuvunjika nasema hivyo unakuta mwanmke ana INO apps anamlazimisha mume nayeye aweke mme anavunga sasa leo ipo katika whats app napenyewe utasema sitaki kudownload apps??
Sasa utaambiwa naomba upokee video hapo patakuwa pagumu sana labda uzime data!lakini utazima kila siku??
WhatsApp mungu anawaona ujue!!
ivunjike kwa nini? ninyi ndo mna miss use mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom