miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
duh hizo za kimbeanadhani watairudisha, manake zile version nyingine za whatsapp kama kwenye groups, zinakwambia miss natafuta tangu asubuhi umechati mara kadhaa, so kwenye magroup utajua nani anasoma kama yuko library na nani anachat na kachangia mara ngapi