WhatsApp Plus APK

WhatsApp Plus APK

Wadau nilikuwa natumia gbwhatsapp wameiblock jana hivi kuna wahtsaap pluss nyingine ambayo iko vizuri na inafanya kazi kama gbwhasapp? Naombeni msaada kama kuna anayejua
 
gb version gan uliokua unatumia wewe??
mbona inapiga kaz kama kawa
 
2.12.246 nimedownload ya vision hii nayo inagoma kuinstall. Niliyokuwanatumia ilikuwa inataka kuapdate ila ilikuwa inaleta luga ya kiharabu ila jana ndio wameiblock
 
mkuu gb latest update ni v 3.70 ww mbona upo mbali
 
nimejaribu kwangu imekataa kudownload
 
Ila hiyo 3.70 inasubua kwenye groups wakati mwingine inafungua na wakati mwingine haifungui SMS. But now nimeipata 3.80 Jana inaonekana kam iko vizuri zaidi ya 3.70
 
Back
Top Bottom