Ooh okay, hii itakuwa imetoka lini mkuu ?, Mi nimekuwa nikitumia hiyo YoWhatsapp nayo unatuma files kubwa pia nafkiri ni 700MB au 900MB hivi ila kuna feature ambayo gbwhatsapp haina mkuu kuna feature ambayo hata ukiwa una-chat na mtu mwengine lakini kama mtu yoyote akiwa online inakuonesha kwa juu pale kuwa fulani yupo online.Lakini feature nnayohitaji mostly ni hii ya kuficha 'tick' moja na ibaki "tick" moja hata ukifungua msg ukaisoma, still yule aliyekutumia msg anaona kwake kuna single tick akijua kuwa upo offline na msg yake haijafika still. Hii ndio feature nnayohitaji mkuu, niki-activate msg zinachelewa kufika hata lisaa lizima mkuu that's why nikauliza kama kuna app yenye hiyo feature kiongozi
kcamp.Thanks buddy.