WhatsApp Plus APK

WhatsApp Plus APK

Nielekeze vizuri hapo mkuu maana hii kitu nimeacha na ilhali nikiwa napenda
Zina ant ban mechanism inakuwezesha kutopigwa ban... We rud tu mkuu mimi natumia tangu kipind kile
 
Hiyo ant ban unaiweka au ipo humo humo hebu nipe darsa kidogo kisha niwekee link nidownload mkuu
 
Weka namba nikurushie yenyewe
Kwa Yeyote Mwenye APK ya WhatsApp Plus Inayofanya Kazi. Material Design Naomba Anitumie ..

Maan Nilikuwa Natumia Moja Juzi Naona Wameshaiblock nimeamia Kwenye Official ambayo siipendi Sanaaaa.

Ni PM kama Unayo
 
Kwanini uki install whatsapp plus inakupopup kuwa "package with the same signature installed alredy" na vipi naweza ku ondokana na ishu hii..
 
Mkuu ulipoiweka ungesoma komenti pale pale unge delete muda huo huo maana kila aliyeiweka wanaiblock nashukuru nilistuka mapema
tena wengine wanalalamika whats app haikubali tena, mkuu
labda niwe sijakuelewa vizuri
hivi wakuu whatsapp plus ndio GB whatsapp au ni tofauti?!
 
Back
Top Bottom