WhatsApp Plus APK

WhatsApp Plus APK

Wakuu,naomba mnisaidie link ya kupakua hii GbWhatsApp latest version..
 
simu moja whatsapp mara mbili na mitandao mingne ya kijamiii tumia parallel space ....ku duplicate the app na kuweza kutumia kwa akaunt nyingne
 
gbwhatsapp mbona inayo hiyo feature ya kushow walio online. ..

kuhusu kudelay baada ya ku activate feature ya kuhide second tick bado tatizo kwa mod zote za whatsapp...kikubwa ni kufuatilia updates mpya huenda itakua fixed.

ila jaribu ku activate ile feature ya always online then ndo ujaribu kuhide second tick..inaweza ikasaidia kidogo nahisi.
Mkuuu gbwhatsaap inapoonyesha kuna mtu online inakuja tone mfululizo nimejaribu kuangalia namna ya kudeactivate nimekosa inanikera unaifanyaje hii feature
 
Mkuuu gbwhatsaap inapoonyesha kuna mtu online inakuja tone mfululizo nimejaribu kuangalia namna ya kudeactivate nimekosa inanikera unaifanyaje hii feature
Ingia Gb setting kisha main/chat screen kisha contact online toast kisha play tone also kisha chagua silent then ok
 
Shukran mkuuu nilifuata yale maelezo ya kule mwanzoni umenisaidia
 
Back
Top Bottom