WhatsApp Plus APK

WhatsApp Plus APK

mi mpaka sasa bado natumia GB whatsapp+ na haijanisumbua miezi 2 sasa..Tatizo kabla hujainstall unatakiwa ufute ile original whatsapp na ufute folder zake zote ndo itakubali.Ila simu yako kama umeiROOT ndo utaipa 100% whatsapp+ kulala miaka yote kene simu yako.

Mkuu msaada wa maelekezo jinsi ya kuroot simu
 
Inawezekana

fungua whatsapp kisha setting kisha account kisha privacy kisha utaona read receipts wewe untick hapo kazi imekwisha.

Hiii nahisi ni kwa Groups
 

Attachments

  • 1447230867750.jpg
    1447230867750.jpg
    21.7 KB · Views: 206
Mkuu nimeingia onhax nimechukua hii YoWhatsapp ila kuna feature moja ambayo nahitaji imekataa ku-work out.

Feature ya single tick nikisoma msg mtumaji aone bado haijafika.

Nime enable ila msg haziingii on time mkuu msg ya saa tisa imeingia saa 12 tena baada ya ku-disable hiyo feature kiongozi.

Naomba msaada kama kuna apk inayofanya kazi vizuri bila usumbufu mkuu.

Thanks In Advane.

ilo ni tatizo ambalo sidhan kama kuna apk yoyote imeweza ku overcom, mm natumia gbwhatsapp nilipo enable single tick msg ya saa5 asubuhi unaipata saa tisa.

labda kama kuna mwenye ushuhuda na apk yoyote ambayo ina fanya kazi poa kwenye ilo swala la single tick ata mimi ningeiitaji haweke hapa.
 
gbwhatsapp some time inaleta popups za watu walio online kwa wakati huo, yangu huwa inafanyaga ivyo

ni feature hiyo mkuu inaitwa online contact toast unaweza weka on au off.
 
ni feature hiyo mkuu inaitwa online contact toast unaweza weka on au off.

Imetulia sana hii.. na ya single tick ingekua inapiga mzigo, daah ingetulia sana lawama zingepungua
 
Sasa mbona kila wakati inata update ukiupdate inaleta kiarabu mkuu hapa vp nisaidie kwa hili
 
Back
Top Bottom